WanaJukwaa lengwa! Kuweni waamuzi wazuri! Arusha one + Arushaone!! Tunaelewekaa????

Wadau wa jukwa lengwa la Jf Chit-Chat!
Hebu tutazameni na majina yetu,kuna haja ya mmoja kwenda off?

Nasubiria maoni yenu wadau wa jukwaa tajwa!
Kwani Mi naona makengeza vile!



Kuna huyu anajiita arusha 01 sijui umeshamuona..??
 
Last edited by a moderator:
Habari ZENYU ladies and gentlemen! Ngoja nami nishike microphone nikamue. Nilichukua uamuzi wa kuwa member. Nikachagua Arushaone as my ID nikaruhusiwa. Then nikaona jina lako nami nikaweka complain (mods ileteni hapa) ndio nitaendelea.
 
Kwani Arusha One ni sawa na Arushaone?

We huoni kama zinafanana?
Au unadanganyika na hyo space hapo katikati?
Inabidi mmoja aachie ngazi la sivyo kuna hatari ya kushea mahubby humu ndani.
 
Alietangulia kudhaliwa ndo ana.haki. Tuma pm itakuwa rahisi kuw sorted. Ushanichanganya now which is which!
Habari ZENYU ladies and gentlemen! Ngoja nami nishike microphone nikamue. Nilichukua uamuzi wa kuwa member. Nikachagua Arushaone as my ID nikaruhusiwa. Then nikaona jina lako nami nikaweka complain (mods ileteni hapa) ndio nitaendelea.
 
Mie ndo nilikutongoza ukanikataa, nishapata wangu wa moyo. Na Mtambuzi ni babangu, nenda tu pub yake ukaache mahela. Kuna wahudumu wa kutosha kuchukua change uliobakisha baba.



Nillichelewa wapi kuiona hii yuziful Posti,ah nilikuwa nawashangaa wale wahuni wanaochoma makanisa kule Mbagara,nakuomba kwa ihsani yako king`asti urudie kunitongoza,walah naapa safari hii sitakukataa
 
Last edited by a moderator:
mnatumix binafc kwenye uzi wa kufiwa na uncle kwa m1 wenu ,ckumbuki nimempa yupi pole mhusika au asiyehusika!
 
Back
Top Bottom