TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
"Wanafunzi UDOM wapigwa mabomu ya machozi, walitaka kwenda ofisini kwa waziri mkuu"
Breaking news-Radio ONE ya saa tano.
Breaking news-Radio ONE ya saa tano.
WAPIGWE SANA MANAKE udom ni wahujumu harakati,wanaviona vyuo vingine kama waasi wa TAMIL TIGGERS, wakamweleze JK awatibie manake anawapenda kwa kuwa ni bongo lala (hawaoni CCM inavyoiua nchi=hawaitajiki kiharakati),UDOM ni wanafunzi waliokosa nafasi kwenye vyuo vya ukweli hawana kabisa uwezo wa kufikiri, jamani sio lazma kila mtu afike chuo hata kama ni kilaza kama baadhi ya mawaziri wetu."Wanafunzi UDOM wapigwa mabomu ya machozi, walitaka kwenda ofisini kwa waziri mkuu"
Breaking news-Radio ONE ya saa tano.
Mgomo huu unachochewa na Chadema. Juzijuzi wamefungua tawi lao kwa mbwembwe pale mjini.
Wangefuata malezi ya CCM wasingegoma, kama ambavyo viongozi makini wa sasa Serikalini hawakugoma walipokuwa UDSM.
Ni lini Chadema watafanya jambo la kujenga kwa vijana wetu? acheni kuwapotosha, bado wadogo.
Leo UDSM kimekuwa chuo makini si ulisema karibu UDOM kitaipiku UDSM kwa umakini, acha wakome wakomae akili wanafikiri CCM ni wa mchezo FFU piga ikiwezekana ua tutazika kwa heshima ya chama.Mgomo huu unachochewa na Chadema. Juzijuzi wamefungua tawi lao kwa mbwembwe pale mjini.
Wangefuata malezi ya CCM wasingegoma, kama ambavyo viongozi makini wa sasa Serikalini hawakugoma walipokuwa UDSM.
Ni lini Chadema watafanya jambo la kujenga kwa vijana wetu? acheni kuwapotosha, bado wadogo.
Bangi hizi!