Wanafunzi UDOM wapigwa mabomu ya machozi, waliotaka kwenda ofisini kwa waziri mkuu

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,816
22,942
"Wanafunzi UDOM wapigwa mabomu ya machozi, walitaka kwenda ofisini kwa waziri mkuu"
Breaking news-Radio ONE ya saa tano.
 
Bila shaka baada ya kufurumushwa kwa mabomu, watatoa waraka wao wa 'kisomi'.
 
Boko waliyaliya ooo boko wala vya wenziioo boko nawe utaliwa, boko nawe utaliwa! si walikula vya CCM sasa inawala! halooo oooo! halo ya CCM booom boooom, haloo ya UDOM walaka wa wasomi walaka wa wasomi!
 
"Wanafunzi UDOM wapigwa mabomu ya machozi, walitaka kwenda ofisini kwa waziri mkuu"
Breaking news-Radio ONE ya saa tano.
WAPIGWE SANA MANAKE udom ni wahujumu harakati,wanaviona vyuo vingine kama waasi wa TAMIL TIGGERS, wakamweleze JK awatibie manake anawapenda kwa kuwa ni bongo lala (hawaoni CCM inavyoiua nchi=hawaitajiki kiharakati),UDOM ni wanafunzi waliokosa nafasi kwenye vyuo vya ukweli hawana kabisa uwezo wa kufikiri, jamani sio lazma kila mtu afike chuo hata kama ni kilaza kama baadhi ya mawaziri wetu.
 
Ingekuwa vizuri wakachapwa na viboko

Nashauri CCM waongeze wanaFFU na magari ya kuwasha wawafanyie kazi watoto hao
 
kisa cha kupigwa hawajui,....aliyewapiga si wanamjua.......................viherehere vyao vimewaponza,.......au mimi ndio mwalimu mkuu/(mwajiri mkuu) atakayetaka kuacha chuo na aache/(atakaye taka kugoma aache kazi)...................teheeetheeee........
 
vipi tena imekuwaje serikali ya ccm ikawapiga??hawa si wasomi wanafiki waliokuwa wanasapoti ccm kwa nguvu zote kipindi cha uchaguzi???WAKOME NA BADO
 
Mmenikumbusha wimbo aliokua ananifundisha mwl wa kiingeredha! "if a Hyena asks for a party, do not agree, for it is just an excuse to eat you up" hawa si ndio walialikwa kipindi ile?, wakauza sura kwenye mabango, wakatoa na hazina ya nyaraka...sasa imekuaje? wapuuzi kweli hawa, yaani vichwa vyote vile havijui kuwa katu Mbuzi hawezi kua rafiki wa chui, wakawapi na mie niwapige japo hata kuwatuka..a kidogo tu
 
Mgomo huu unachochewa na Chadema. Juzijuzi wamefungua tawi lao kwa mbwembwe pale mjini.

Wangefuata malezi ya CCM wasingegoma, kama ambavyo viongozi makini wa sasa Serikalini hawakugoma walipokuwa UDSM.

Ni lini Chadema watafanya jambo la kujenga kwa vijana wetu? acheni kuwapotosha, bado wadogo.
 
Bangi hizi!
 
welaa............. Welaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..Kweli mkuu its tym nw 4 udom kuacha kunyonya.... tena kwa fimbo...Hao ndo thithem bana....shame on them!!!!!
 
Stahili yao!Kujipendekeza kote haoo wameachwa kwenye mataa!Vumbi nalo wametimuliwa!
 
Mgomo huu unachochewa na Chadema. Juzijuzi wamefungua tawi lao kwa mbwembwe pale mjini.

Wangefuata malezi ya CCM wasingegoma, kama ambavyo viongozi makini wa sasa Serikalini hawakugoma walipokuwa UDSM.

Ni lini Chadema watafanya jambo la kujenga kwa vijana wetu? acheni kuwapotosha, bado wadogo.
Leo UDSM kimekuwa chuo makini si ulisema karibu UDOM kitaipiku UDSM kwa umakini, acha wakome wakomae akili wanafikiri CCM ni wa mchezo FFU piga ikiwezekana ua tutazika kwa heshima ya chama.
 
Mgomo huu unachochewa na Chadema. Juzijuzi wamefungua tawi lao kwa mbwembwe pale mjini.

Wangefuata malezi ya CCM wasingegoma, kama ambavyo viongozi makini wa sasa Serikalini hawakugoma walipokuwa UDSM.

Ni lini Chadema watafanya jambo la kujenga kwa vijana wetu? acheni kuwapotosha, bado wadogo.

Wala si utani, hizi ni PURE BANGE, tena zina mix na MARIJUANA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom