Wanafunzi UDOM wapigwa mabomu ya machozi, waliotaka kwenda ofisini kwa waziri mkuu

Wanaandamana kitu gani wanafki tu hao! Pesa wanazo nyingi sana, wajilipie ada! si walimchangie mkwere-wanashindwaje kuchangia elimu yao?!!
 
Mgomo huu unachochewa na Chadema. Juzijuzi wamefungua tawi lao kwa mbwembwe pale mjini.

Wangefuata malezi ya CCM wasingegoma, kama ambavyo viongozi makini wa sasa Serikalini hawakugoma walipokuwa UDSM.

Ni lini Chadema watafanya jambo la kujenga kwa vijana wetu? acheni kuwapotosha, bado wadogo.

Nani kakudanganya kuwa viongozi walioko serikalini hawakugoma wakiwa UDSM? Muulize Samuel Sitta,alikula bakora za Mwalimu Nyerere.
 
Mgomo huu unachochewa na Chadema. Juzijuzi wamefungua tawi lao kwa mbwembwe pale mjini.

Wangefuata malezi ya CCM wasingegoma, kama ambavyo viongozi makini wa sasa Serikalini hawakugoma walipokuwa UDSM.

Ni lini Chadema watafanya jambo la kujenga kwa vijana wetu? acheni kuwapotosha, bado wadogo.
Bangi kali umevuta..!!! FFU chapa viboko kwenye makalio yao...tegua viuno hao wanavunja amani sisi tunataka kusoma, piga virungu haoooooooo
 
Alert!!!!!! Habari za punde zinadai mwana-Udom mmoja kafariki kutokana na kichapo cha Fuga Funza Ule (FFU)
 
Back
Top Bottom