Wanafunzi Ndanda high school waandamana

Jina lilianza baada ya kuondoka ghowele...(OUT)...hv hao vjana walikuwa wanakufahamu masasi kweli,c wangeishia mwena tu!

masasi unafika tu mkuu ,,,, they tried in 2005 bt police stucked em ,,,,, kwa mziki wa lizangati mbona karibu tu pale..............
 
Mkuu, inaonekana uliwahi
kwua hapo Ndanda. Ebu nitoe wasi wasi, hivi inawezekana kweli
kuandamana toka pale Ndanda kwenda Masasi?

kuandamana kwa miguu kwenda masasi hata siku moja haiwezekani,labda kama walitaka wakodi magari,yapo ya murji wangeomba lifti,shortly,hao ni matahira
 
Ulikuwa mwaka gani pale
bweni gani sheratoni au huku mawenzi na kibo aisee nilikaa pale miezi
kama saba sikuwahi chapwa bakora hata siku moja

Nilikuwa Kilimanjaro-Mawaenzi..mwaka 2006-08..
 
masasi unafika tu mkuu
,,,, they tried in 2005 bt police stucked em ,,,,, kwa mziki wa
lizangati mbona karibu tu pale..............

nakumbuka siku moja ilikuwa jogging,tulikimbia hadi nangoo darajani,tukiongozwa na someone mwampamba,kurudi ndo ikawa mzk,tuliomba lifti kwenye gari za murji.
 
kumbe kuna ardhi ya kanisa?

Ukimiliki ardhi kisheria ukawa na hati,bado utakuwa huna ardhi?au we mbulula

hv kuuliza ukafafanuliwa n ujinga? Au unajiona unajuuuuuuuua? Mbulula n ww ucyejua maana ya kuulza mbona alyeulizwa kajib vzr tu, au ultaka nkuulze ww uonekane unajua?
 
Nilikuwa Kilimanjaro-Mawaenzi..mwaka 2006-08..

Ok kiongozi mi nilikuwa pale 2007 huku mawenzi, nyie ndio mlikuwa na akina mushi, makamba(fundi simu), juma(alikuwa kiongozi wa jikoni) na hp alikuwa jamaa fulani hivi dingi dingi full ostadhi
 
mda mali mkuu tunafungua uzi tupate habari kumbe hamna kitu,kua makini hatuhitaji kujua wameandamana tunahitaji kujua kwanini wameandamana
 
Ok kiongozi mi nilikuwa pale
2007 huku mawenzi, nyie ndio mlikuwa na akina mushi, makamba(fundi
simu), juma(alikuwa kiongozi wa jikoni) na hp alikuwa jamaa fulani hivi
dingi dingi full ostadhi

yap,kumbe unawasoma wana ndanda boyz,tulikuwa na hao jamaa,kuna kodjo,straton and strimius,mwisho macheku na wengne kbao
 
Kwani waliondamana ni Waislamu peke yao ? Au ndio yale yale ya kukurupukaaa kama ya M4C- maandamano kabla ya kuuliza ?

Tafakari before writing, utajishushia hadhi yako kwa kuandika vitu vya kipuuzi Kama mtoa hoja! M4C anaijua au nawe umekurupuka?
 
Back
Top Bottom