Wanafunzi Ndanda high school waandamana

Wanadai hawamtaki mkuu wa shule lakin kabla hawajafika masasi wamekutana na viongoz wa wilaya so wanazungumza nao
 
Ila hizi issue za wanafunzi kuandamana eti hawamtaki mkuu wa shule mara nyingi sana zinakuwa engineered na baadhi ya walimu kutoka katika staff husika na hii ni kutokana na wakuu wa shule either kugusa maslahi ya baadhi ya walimu ''wakongwe'' au kupiga deal mwenyewe na kutokuwa fair, lakini pia hili huwakuta wakuu wa shule wapya wanaotaka kubadilisha status quo katika shule wanazoenda.... Tumeona hili Ilboru, Lyamungo, Shy Bush to mention the few. Kinachotakiwa kufanyika ni hawa wahusika kutoa ukuu wa shule kwa kufata vigezo husika sio ''kuweka'' watu... Siku hizi wakuu wanahonga kupata ukuu wa shule kongwe kwa mtindo huu mtaua shule zetu. Pia Walimu wakongwe katika mashule haya ni conservative wasiotaka kubadilika kila kitu eti experience sa vijana wapate wapi experience, so sometime hawa walimu hujenga hoja kwa wanafunzi kijanja sana na outcome zake ndo hizi
 
Back
Top Bottom