Wanachama bandia Wakamatwa wakielekea Makao Makuu ya CHADEMA; Waandishi wa UHURU na STAR TV wapigwa!

Hivi huyo Masaburi ni Nani ?? Viongozi Wa ukawa mnasubiri nini kumchukulia hatua na ushaidi upo
Huyo mpumbavu asituharibie Amani yetu
 
Wapumbavu sera hawana wanaanzisha vurugu. Mm nimefurah walivyovyunjwa miguu na kupigika balaa. Hao star tv wangewapiga zaidi mana wanatetea maccm live. Viva uka viva Lowasa.
 
Vijana sii unakikatio chako maandamo ya nini kama humpendi wapo wanaompenda cha mkatae siku ya uchaguzi
 
Imetokea eneo la Manyanya Kinondoni ambapo CCM wakiwa na sare za chadema wakiratibiwa na yuleyule Masaburi leo wamekusanyika Manyanya wakitaka kuandamana kwenda makao makuu ya chadema kupinga kile walichodai kauli ya udini iliyotolewa na Mgombea urais wa Ukawa Bw Lowasa.

Vijana wa chadema halisi wakastukia hilo ndipo kwa kushirikiana na vijana wazalendo wa bodaboda wakawasambaratisha vijana wa CCM waliojifanya chadema na kutaka kuandamana.

Waandishi wa Star TV na gazeti la Uhuru walikuwa miongoni mwa mapandikizi ya CCM. Walijikuta wakipigwa vibaya na kuharibiwa vifaa vyao vya kazi zikiwemo kamera.

Mwandishi wa Star TV amekwenda kupata matibabu kuokoa maisha yake hospitali ya kinondoni huku yule wa uhuru akiwa kaumizwa vibaya na haijulikani alikimbilia hospitali ipi licha ya kudaiwa kuwa Mwananyamala.

Maandamano hayo yanadaiwa kuratibiwa na Masaburi na Antony Dialo ili kumharibia Lowasa na Ukawa kama ilivyokuwa yale maandamano feki la kumuunga mkono Slaa.

Uwe na uhakika kwani "asimae uongo kwa mwenzake ni chukizo kwa bwana ".
 
Intelligence ya chadema naikubali sana,kule mipango yao inaratibiwa na Savimbi,kichwa cha panzi na masabukundu
 
Hingereni sana vijana wazalendo watanzania, yaani ninatamani mngekuwa na petrol muwamalize hao mafeduli mapandikizi. SSM mnaogopa kitu gani? Kama mmefanyia watanzania wema msingahangaika kiasi hiki. Mateso na manyanyaso yana mwisho wake, na mwisho huo ni 25 October 2015. Ninakipongeza sana CHADEMA na UKAWA kwa kampeni za kistaarabu. Hakika Lowassa ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Alisema kabisa kuwa atafanya kampeni za Kistaarabu na imekuwa hivyo. Lowassa si mlimkataa nyie SSM? Sisi wananchi tumemchukua na ndiye tunamtaka. Kwa mtu mwenye busara atakubaliana na mimi kuwa waleta machafuko na waharibifu wa amani nchi hii ni CCM na hii imezidi kujidhihirisha kampeni hizi. Ninawasihi wote tupendao amani tuendelee kuhamasisha ndugu na jamaa zetu kuwa chaguo pekee la kutuongoza kwa hali tuliyofikia Watanzania kwa Sasa ni UKAWA tu.
 
Back
Top Bottom