Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,257
- 12,928
Yaani mnashabikia kuua watu? Inasikitisha sana. Ila mwisho wenu ni 25/10, mtaona kitakachotokea!Asante Yesu...kila mbinu Wanayotunga Mungu anawaumbua
Yaani mnashabikia kuua watu? Inasikitisha sana. Ila mwisho wenu ni 25/10, mtaona kitakachotokea!Asante Yesu...kila mbinu Wanayotunga Mungu anawaumbua
Nimeona video yake inatia huruma chama tawala utafikiri wao ndo wapinzani.Ndiyo maana tuko maskin kwa sababu ya
kuongozwa na watu ambao hawana hekima wala hofu ya Mungu hata kidogo.Hawa maccm yameshindwa kuwaelezea
watanzania ilani ya chama yanakaa tu kubuni mbinu chafu na matusi..kuwaza fitina tu zisizo na sababu..
Wanahubiri amani lakini ccm ndiyo ya kwanza kuratibu mambo ya kuleta hasira kwa umma.Mungu anayaona yote hayo
na hapendezwi na watu wenye roho za kishetani na majiubu yake ni 25 October 2015
Asante Yesu...kila mbinu Wanayotunga Mungu anawaumbua
Washenzi hawa mpaka uchaguzi ufike, watakuwa wameshika adabu.
Chadema pelekeni malalamiko ya uharamia wa kifirauni wa ccm kwenye tume ya uchaguzi haraka iwezekanavyo.
Matukio mengi sana wanafanya yakiwemo ya kuzidisha muda wa kampeni bila kuchukuliwa hatua yoyote.
Kutoa matusi majukwaani kila mtu akisikia badala ya kutoa hoja.
Kuvamiwa kwa HECHE na kuuliwa mwananchi mmoja.
Na sasa kuwakamata live wakiratibu maandamano kinyume cha sheria.
N.k
Chukueni hatua.
Hapana mkuu Ghosryder kila mtu anashangaa kwa imani yake ya dini. Kwa hiyo si suala la udini kabisa mkuu wangu. Hata muislam angeweza kushangaa kwa imani yake. Chadema kuwa wakristo na waislam pia na kwa sasa issue si Chadema ni UKAWA na CUF ni waislam. Unajua SSM walitumia udini na ukanda kuharibia chadema ila sasa Watanzania wameshautambua ukweli. Binafsi mini ninatoka kanda ya Ziwa na si Mkristo.Kumbe kweli chadema ina udini.Sasa yesu unamshukuru kivipi badala ya Allah sub'hana wataala!
Mkuu hadi huruma huyo kijana wa Uhuru naona kama kavunjwa mguu !!shenz typ.... walicho kipata kina stahili
Kila mtu anashukuru kwa imani yake, hata mimi nisie na dini nimetemea jua mate na kushukuruKumbe kweli chadema ina udini.Sasa yesu unamshukuru kivipi badala ya Allah sub'hana wataala!
Wananchi wa Ubungo ninawaomba sana sana hebu angusheni huyo fisadi wa ubunge anayetumia jeuri ya fedha kuharibu amani ya nchi hii, Huyu ni wale kati ya ukoo wa panya, baba anagombea ubunge, mama viti maalumu na binti vitii maalum. Amefilisi UDA na uchafu mwingi kibao. Mpeni Kubenea kura, na ndiye mtetezi pekee kwa watanzania kwa sasa. Fisadi mkubwa wewe. Watanzania wa leo si wale wa mwaka 1995. Mtanzaia aliyezaliwa mwaka huo ni mpiga kura na ni mwana mabadiliko. Shame on You Masanduku mwizi mkubwa na chuo chako cha kisanii cha kuibia hela.
Imetokea eneo la Manyanya Kinondoni ambapo CCM wakiwa na sare za chadema wakiratibiwa na yuleyule Masaburi leo wamekusanyika Manyanya wakitaka kuandamana kwenda makao makuu ya chadema kupinga kile walichodai kauli ya udini iliyotolewa na Mgombea urais wa Ukawa Bw Lowasa.
Vijana wa chadema halisi wakastukia hilo ndipo kwa kushirikiana na vijana wazalendo wa bodaboda wakawasambaratisha vijana wa CCM waliojifanya chadema na kutaka kuandamana.
Waandishi wa Star TV na gazeti la Uhuru walikuwa miongoni mwa mapandikizi ya CCM. Walijikuta wakipigwa vibaya na kuharibiwa vifaa vyao vya kazi zikiwemo kamera.
Mwandishi wa Star TV amekwenda kupata matibabu kuokoa maisha yake hospitali ya kinondoni huku yule wa uhuru akiwa kaumizwa vibaya na haijulikani alikimbilia hospitali ipi licha ya kudaiwa kuwa Mwananyamala.
Maandamano hayo yanadaiwa kuratibiwa na Masaburi na Antony Dialo ili kumharibia Lowasa na Ukawa kama ilivyokuwa yale maandamano feki la kumuunga mkono Slaa.
Power.