Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,492
dj mbowe mbowe anafikiri anaweza kumtumia kila mtu kupata hela. alipompata dr slaa hakujua ana mtu wa msimamo akaona amemtumia tu kuongeza ruzuku kwa kupata wabunge wengi. sasa anafikiri edo ataingia ikulu na yeye kukalia hazina ya taifa kama waziri wa fedha. anashindwa kuamini wapo wafuasi wa cdm wako na dr. slaa hawakubali usaliti wa chama chao.
Ndiyo hao waandishi wa habari wa Uhuru??
Mwandishi wa habari wa gazeti la chama jingine kajaza mfukoni kadi za chama kingine, inakuja kweli??
Mmmh saa nyingine na mahaba mliyonayo kwa vyama vyenu yasiwatoe ufahamu