wana udsm tupo, hii ndo tarehe halisi ya kufungua chuo kwa mwaka wa kwanza

huyu jamaa namfahamu,alidisco pale mwaka wa kwanza,inasemekana alipata sap 5 first semester.

Ninyi mnamatatizo, naposema ninyi namaanisha wewe, [MENTION]Perry na Good Guy[/MENTION] (though sound like good gay). Kama nanyi ni wasomi wa UDSM, hamna tofauti na Mwigulu wala Yusuf MAKAMBA ambaye hakusoma hapo.

Nini tatizo la hoja za Kingxvi, je kuyataja hayo majina? Ama kuwaambia msishinde Mlimani City na Mwenge? Ama maudhui yaliyopo kwa sababu yamegusa tabia zenu za nyuma ya pazia?

Acheni utoto na ujinga wa hali ya juu kwa mtu anayeitwa msomi wa Chuo Kikuu. Jibuni hoja kwa hoja.

Ikiwa kawataja watu walioshindwa kimaadili na walikuwa ni zao la UDSM kwanini msimwonyeshe watu walioshinda kimaadili ambao ni zao la UDSM. Je! Mwataka kuthibitisha kuwa hakuna watu wa mfano kimaadili ambao ni zao la UDSM? Shame on you!!

Jiulizeni ikiwa maeneo yenu ya kujidai ni Mlimani Campus na Mabibo Hostels, kwanini wanachuo wengi wanashinda Mlimani City na Mwenge? What are the stories behind those scenes?

To supplement in exams or be discontinued from studying a particular course doesn't mean, at ALL, is the end of proper reasoning and failure in academics. If so, from today don't anything good from Sir W. Churchill (PM of UK) because he failed in his exams.

Jadilini hoja msishambulie mtoa hoja. Mkishindwa kujibu hoja za Kingxvi, basi I'll spit you "the three"... pttuuu!!
 
Ninyi mnamatatizo, naposema ninyi namaanisha wewe, Perry na Good Guy (though sound like good gay). Kama nanyi ni wasomi wa UDSM, hamna tofauti na Mwigulu wala Yusuf MAKAMBA ambaye hakusoma hapo.

You knw i"m beginning to hate dyslexic people, always gettin things backwards. I'm straight i dunno who's gay btn us you retard.

Nini tatizo la hoja za Kingxvi, je kuyataja hayo majina? Ama kuwaambia msishinde Mlimani City na Mwenge? Ama maudhui yaliyopo kwa sababu yamegusa tabia zenu za nyuma ya pazia?

Acheni utoto na ujinga wa hali ya juu kwa mtu anayeitwa msomi wa Chuo Kikuu. Jibuni hoja kwa hoja.

Hujaona the big picture, sina prob na aliyoyasema nna tatizo na jamaa kwanini yeye akiiona UD 2 anadandia na nothing supportive comes outta him/her. Anyways ntajifunza kujibu toka kwako i can see ur an expert wa kujibu hoja.retard.

Ikiwa kawataja watu walioshindwa kimaadili na walikuwa ni zao la UDSM kwanini msimwonyeshe watu walioshinda kimaadili ambao ni zao la UDSM. Je! Mwataka kuthibitisha kuwa hakuna watu wa mfano kimaadili ambao ni zao la UDSM? Shame on you!!

Kabwe Zuberi Zitto
Zitto Kabwe
Mbunge
Bunge laTanzania
Jimbo la uchaguzi:Kigoma Kaskazini
Tarehe ya kuzaliwa:24 Septemba 1976
Chama:Chama cha Demokrasia Tanzania
Tar. ya kuingia bunge:2005
Dini:{{{dini}}}
Elimu yake:Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Digrii anazoshika:BA (uchumi)
Kazi:mwanasiasa

Retard

Jiulizeni ikiwa maeneo yenu ya kujidai ni Mlimani Campus na Mabibo Hostels, kwanini wanachuo wengi wanashinda Mlimani City na Mwenge? What are the stories behind those scenes?

Cjaona or should i say cjaelewa logic ya swali lako! Ni sawa na mm niulize kwann wanachuo wengi wa IFM wanajihusisha na biashara za kuuza miili?

To supplement in exams or be discontinued from studying a particular course doesn't mean, at ALL, is the end of proper reasoning and failure in academics. If so, from today don't anything good from Sir W. Churchill (PM of UK) because he failed in his exams.

Though i hate Agreeing with a retard. FB founder, Bill Gates, Jobs nk watakubali pia

Jadilini hoja msishambulie mtoa hoja. Mkishindwa kujibu hoja za Kingxvi, basi I'll spit you "the three"... pttuuu!!

Huwezi kua unapost upuuzi afu uachwe tu, and men i must tell ya i would hav stated all these in a good maner but u tripped me from the start. Keep ur mouth closed cause i bet ur breath is worse than ur spit
 
Hii kwa freshers imekaa mwax but kwa continuing unaweza kusanda mbaya hasa ukiwa na kikwikwi
 
Good Guy na WanaJF wote naomba msamaha kwa kusema Good Guy,sounds like good gay.

Nilifikiri kuweja neno joke katiki mabano baada ya ... ama kuyafuta kabisa. Nikasahau. Nayo maneno hayo yakamsumbua sana GD, na pengine na wengine. Naomba GD na wengine mniwie radhi.

Maelezo mengine chini yako kama yalivyo. Nimetumia maneno hayo ili wao kama wasomi wajue nini cha kufanya.
 
Good Guy, unaouwezo mkubwa sana wa kumburuza Kingsxvi. Hebu fikiri kama ungekuwa unamjibu hivyo si ingeleta faida sana?

Si kila anayekitaja vibaya UDSM ni adui, anaweza akawa na uchungu na madudu yanayofanyika sasa ambayo miaka ya uko nyuma hayakuweko. Anataka wahusika wajirekebishe kwa kusemwa. Lakini, ni kweli taswira ya UDSM kimataifa ni kubwa, hivyo anataka kuichafua kwa tuvitu tudogotudogo. Ninyi kama wasomi mnatakiwa kumpa "za usoni" kwa kupinga hoja zake kwa kutoa zile zenye nguvu ili ajione mavi.

Ijulikane wazi, Tanzania hatuwezi kuzungumzia wasomi wala maendeleo ya sekta ya elimu na uzalishaji rasilimali watu yenye weledi bila kukitaja Chuo Kikuu cha Dar es salaam, chenye mwito UHURU NI HEKIMA.
 
Accepted(well 2 me i.e.)! Wat u hav done should b learned by many, ukikosea ts not bad 2 appologise, i like dat!! Pa1 bna ol is 4given
 
Good Guy, unaouwezo mkubwa sana wa kumburuza Kingsxvi. Hebu fikiri kama ungekuwa unamjibu hivyo si ingeleta faida sana?

Si kila anayekitaja vibaya UDSM ni adui, anaweza akawa na uchungu na madudu yanayofanyika sasa ambayo miaka ya uko nyuma hayakuweko. Anataka wahusika wajirekebishe kwa kusemwa. Lakini, ni kweli taswira ya UDSM kimataifa ni kubwa, hivyo anataka kuichafua kwa tuvitu tudogotudogo. Ninyi kama wasomi mnatakiwa kumpa "za usoni" kwa kupinga hoja zake kwa kutoa zile zenye nguvu ili ajione mavi.

Ijulikane wazi, Tanzania hatuwezi kuzungumzia wasomi wala maendeleo ya sekta ya elimu na uzalishaji rasilimali watu yenye weledi bila kukitaja Chuo Kikuu cha Dar es salaam, chenye mwito UHURU NI HEKIMA.

Agreed.
 
Aiseee babaangu hawa jamaa hata hawaeleweki mara taree 24 mara taree 1 mara tareea 15 mi siji ngoo mpaka nisikie mkandala,maboko rwaitamu,mbonile na dr kadege wametangaza test

kwa sasa hacha niendelee kupata mbege taraibu huku nikingoja boom liingie
 
Aiseee babaangu hawa jamaa hata hawaeleweki mara taree 24 mara taree 1 mara tareea 15 mi siji ngoo mpaka nisikie mkandala,maboko rwaitamu,mbonile na dr kadege wametangaza test kwa sasa hacha niendelee kupata mbege taraibu huku nikingoja boom liingie
mkuu usisahau ukifika udsm MBEGE inapatikana asubuhi sana pale ubungo maji stendi ya shamba!
 
lakini kimezaliwa wajinga wengi tu waliosababisha taifa lisiendelee

Yaani wewe kilaza nadhan un PHd ya ukilaza, tangu uone post flan hiv huo ndo umekua Motto kwako. Umeng'ang'na ku judge tabia binafsi za wa2 na sehemu walipopata elimu yao(tena ya juu bila kujua chini huko kukoje). Hebu naomba utumie masaburi into good use, Naomba ntaftie hawa wajinga as you call them wamesoma wap Tundu Lissu,Halima Mdee,Zitto Kabwe,John Mnyika& Mh.John Magufuli alafu nichckie na Vilaza wenzio Vick kamata na Anne makinda. Ukipata majibu urudi ili 2conclude vyuo vya wajinga na visivyo vya wajinga. Personaly i'm not a fan wa hii migogoro ya chuo bora na ndo maana ctaki hata kuhucka na threads za namna hiyo, lakini wewe kilaza umeng'ang'ana kila uzi unataka uwe wa 'UD SUCKS'. Wa2 wanaongelea tarehe za kufungua usharukia Dungu.arrrgghh :mad:
 
Back
Top Bottom