Wana JF

Kuna wa kwangu amenishinda, namlipa sh 50,000 kwa mwezi. Anafanya kazi vizuri sana lakini ananitaka. Nataka kumwondoa kwa hiyo Kama unamhitaji tuwasiliabe

Hahahahahah...Gurudumu umeniacha hoi jamani...jamani mbavu zangu......:laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Oopss Gerald samahani sikuwa nimesoma na posts nyingine kumbe unatafuta mchumba?? Orait orait weka qualification basi ili tuone ka na sie vikongwe (Sweet 16) tunakwalifai.

anataka below 25,my dear MJ1, jitose ila navyofikiri.........:wink2::decision:
 
Ahsante labda nifikishe ujumbe kamili below 28, nidhamu ya juu, graduate diploma and above, white na mwisho awe na sifa zote
 
Hahaha nimekumiss pia BUT tumsaidie kwanza Gerald then tutamisuana sawa CPU?

Huyu kijana anataka kujifunza kutoa post JF basi
Ingawaje anasema ana miaka 30 lakin maelezo yake yanaonyesha anajifunza kutongo**za
 
Natafuta binti plse msaada kwenu

Gerald, unaweza ku-edit hii post...wengine tunafikiri unatafuta binti wa kazi au binti amepotea! Pia ungeweka angalau wasifu wako na yule umtakaye ingependeza zaidi! Otherwize, nakutakia kila la heri!
 
Huyo binti unayemtaka hana vigezo???Simama hapo nje kwenu yeyote atakaepita mwaga sera!!
 
Huyu kijana anataka kujifunza kutoa post JF basi
Ingawaje anasema ana miaka 30 lakin maelezo yake yanaonyesha anajifunza kutongo**za

Unataka Mtu Asemeji embu nifundishe wewe mwerevu wa kutongoza
 
Hahah Michelle mydia haya mambo ah .....mie ni retired officer..menopozi hadi imekomaa.... but am still Sweet 16!!

mmmhhh yaani duh,haya mambo ya mi nipo nipo hadi 35 (sweet 10...l.o.l)....matokeo yake si fit kwenye criteria za kina Gerald,kaongeza na weupe juu,sasa mimi na huu u-cheusi dawa wangu ngoja nitoke hapa.......Gerald.....all the best my brother,it was nice meeting you!!!!
 
Huyu kijana anataka kujifunza kutoa post JF basi
Ingawaje anasema ana miaka 30 lakin maelezo yake yanaonyesha anajifunza kutongo**za

Aksante kwa kunirekebisha kiutuuzima haha

Haya Gerald keshataja sifa za amtakaye.....hebu ngoja kwanza Sipiyuu tuendelee kumisiana kwanza ngoja nikacheck sifa nione kama nami naweza kuwa contestant.....................loh
 
Gerald, unaweza ku-edit hii post...wengine tunafikiri unatafuta binti wa kazi au binti amepotea! Pia ungeweka angalau wasifu wako na yule umtakaye ingependeza zaidi! Otherwize, nakutakia kila la heri!

duh.....kashasema mweupe,below 25 na graduate diploma and above......:hand::hand:
 
mmmhhh yaani duh,haya mambo ya mi nipo nipo hadi 35 (sweet 10...l.o.l)....matokeo yake si fit kwenye criteria za kina Gerald,kaongeza na weupe juu,sasa mimi na huu u-cheusi dawa wangu ngoja nitoke hapa.......Gerald.....all the best my brother,it was nice meeting you!!!!

Michelle usikate tamaa..........am shua atakapogundua kuwa siku hizi weupe wa nachero hakuna atatukonsida na sie........
Mi nabaki bana (as long as hajasema hataki alofika menopozi... am still kwalifayingi bana)
 
mmmhhh yaani duh,haya mambo ya mi nipo nipo hadi 35 (sweet 10...l.o.l)....matokeo yake si fit kwenye criteria za kina Gerald,kaongeza na weupe juu,sasa mimi na huu u-cheusi dawa wangu ngoja nitoke hapa.......Gerald.....all the best my brother,it was nice meeting you!!!!

Nami pia nashukuru kwa mawazo yako
 
huja2lia wewe kwel bint anatafutwa kwa namna hii? Ops labda nimesahau kukuuliza alikimbia mabomo kule gongo la mboto au amepote kwny maandamano ya chadema kule arusha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom