Wana JF

wewe una umri gani sometime doesn't matter

sijaelewa....wewe ndo mwenye below 25 au unayemtaka ndo awe na below 25???

sasa kama nimekuzidi sana huoni kuwa nitazeeka kabla yako na waweza ninyanyasa baadaye na kwenda tafuta wa age yako?????:rain:
 
Natafuta binti plse msaada kwenu

Gerald bana, ndo matatizo ya kutoingia jamvini muda mrefu
Michelle kajileta badala ya kumchangamkia una ng'aaa ng'aaa tu mimacho, haya sasa Kimbweka kashakupiga bao
 
Mimi pia naogopa maana icje ikawa Gerald we fataki watafuta kibinti 25. Sema umri wako tuchangamke
 
sijaelewa....wewe ndo mwenye below 25 au unayemtaka ndo awe na below 25???

sasa kama nimekuzidi sana huoni kuwa nitazeeka kabla yako na waweza ninyanyasa baadaye na kwenda tafuta wa age yako?????:rain:

Michelle nae mmmmmmh, anamfuatilia dogo wa watu kana kwamba atampa kweli
 
Nifundishe mrembo

kama mtu akichangia kwa thread yako.....ukiwa unamjibu huyo mtu....kuna sehemu pameandikwa REPLY WITH QUOTE,una click tu pale then unamjibu huyo mtu.....itasaidia sana kujua unamuuliza nani na kutokana na post yake ipi.....sasa unavyoandika hivyo wengine inakuwa ngumu kujua unamuuliza nani???ni hilo tu Gerald!!!
 
Gerald bana, ndo matatizo ya kutoingia jamvini muda mrefu
Michelle kajileta badala ya kumchangamkia una ng'aaa ng'aaa tu mimacho, haya sasa Kimbweka kashakupiga bao

nionee huruma jamani? na kujitahidi kote hata hanielewi,sijui anapenda wale wanaomsumbua?:A S 13:
 
Jf Bana nina umri above 30 so ni bora kuwa na mwenza ambaye umri wake nimepishana kama 5yrs kutokana na maumbile ya wasichana so zingatia mawazo ya mtu
 
kama mtu akichangia kwa thread yako.....ukiwa unamjibu huyo mtu....kuna sehemu pameandikwa REPLY WITH QUOTE,una click tu pale then unamjibu huyo mtu.....itasaidia sana kujua unamuuliza nani na kutokana na post yake ipi.....sasa unavyoandika hivyo wengine inakuwa ngumu kujua unamuuliza nani???ni hilo tu Gerald!!!

Bado hajaelewa somo, cheki anavyoongea mwenyewe hapo chini, bora angekuwa ana simu sikioni tungejua anaongea na sim

Jf Bana nina umri above 30 so ni bora kuwa na mwenza ambaye umri wake nimepishana kama 5yrs kutokana na maumbile ya wasichana so zingatia mawazo ya mtu
 
Those that go searching for love, only manifest their own loveless ness. And the loveless never find love, only the loving find love. And they never have to seek for it...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom