Wana JF

Kwani nimekosea Karen, si anatafuta mtoto wa kazi!!! Hahahaa

Gurudumu....this is a serious business....akimpata mchumba hapa ndo hivyo tena Michelle napokea baraka kwa kumsaidia.....naomba muwe serious!!
 
nadhani ni wakati muafaka wa kuanza kupitia posti zako zote......l.o.l ole wako uwe umenikwaza..:ranger:

:A S 13:Challenges are what make life interesting; overcoming them is what makes life meaningful :wink2:
progress.gif
 
Gurudumu....this is a serious business....akimpata mchumba hapa ndo hivyo tena Michelle napokea baraka kwa kumsaidia.....naomba muwe serious!!

Hakusema anatafuta mchumba jamani Michelle. Mbona mnamuwekea maneno? Unajua binti ni mwanamke mdogo na ambaye huwezi kumvulia nguo bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom