LADDY PEPETA
Member
- Jan 18, 2012
- 26
- 7
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26,sikubahatika kuendelea na masomo niliishia kidato cha pili.nahitaji mume kwa sasa lakini kutokana na ufinyu wa elimu niliokuwa nao nimekuwa nikinyanyapaliwa katika mahusiano na kushindwa kutimiza ndoto azngu za kuwa na familia yenye amani na furaha,hicho kitu kina nitesa na kutesa hisia zangu,kwa sasa ni mpweke naomba nisaidieni,natafuta mume mwema ataenikubali kwa hivi nilivyo.