Wana jf naomba ushauri wenu

LADDY PEPETA

Member
Jan 18, 2012
26
7
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26,sikubahatika kuendelea na masomo niliishia kidato cha pili.nahitaji mume kwa sasa lakini kutokana na ufinyu wa elimu niliokuwa nao nimekuwa nikinyanyapaliwa katika mahusiano na kushindwa kutimiza ndoto azngu za kuwa na familia yenye amani na furaha,hicho kitu kina nitesa na kutesa hisia zangu,kwa sasa ni mpweke naomba nisaidieni,natafuta mume mwema ataenikubali kwa hivi nilivyo.
 
Aliishia kidato cha pili? maswali gani haya Freema??

BTW: You are missed.

same here, ulipotea potea. Kheri ya mwaka 2012 na pole kwa msiba.

Kuhusu 'Lady pepeta' my dear... ukisema 'nilivyo' inamaanisha umbo na tabia. Sidhani kama kuishia form two kunamkosesha mume. Kama alivyosema ndugu Boss, labda kama anatafuta wa kumsomesha. Kama issue ni mume, sidhani kama kuishia form 2 ndiko kunakompelekea kuwa mpekwe. By the way, remeber hapa ni JF, hakuna kumeza desa zima zima.

Mimi ni mnene kiasi mweupe(natural)si mfupi c mrefu

Asante. Remain focused, achana na hizi habari za kutafuta mume mtandaoni usijetuletea kesi za kukatazana kuingia mitandaoni bure.
 
Kheri ya mwaka 2012 pia na pole kwa msiba.

Unajua kuna watu wanajinyanyapaa wenyewe, na mwanaume akifanya ubaya kwake anaishia kujilaumu,kumbe sometimes its not even about her, ni maamuzi tu huyo mwanaume alifikia kwasababu fulani anazojua yeye.....sdhani kama ishu ni elimu mimi binafsi...watu wajifunze tu kujiamini na kuwa na subira...my best friend alipata mimba akiwa form 2, hakusoma tena,nikiwa form six akapata ingine ya mtu mwingine na mwaka juzi kapata mwingine nae wa mwanaume mwingine.....hajawahi kuwa na uhaba wa wanaume na sasa ndo anaolewa mwezi wa tatu......subira,wapo watakaompenda hivyo hivyo.
 
yaani tu jina ulilochagua lanipa utata
Why lady pepeta? Unawapepeta sana?

elimu sio tija sana
wewe kwa sasa unafanya shughuli gani?
 
kila la heri bi dada!kwa sasa unaishi wapi?je ukimpata ambaye atakuendeleza ki elimu upo tayari?ukafanya mtihani wa QT na baadae wa kidato cha nne?
 
Kuna kitu nilikuwa nimesahau Lady Pepeta...... Jana kuna kaka mmoja aliweka thread ya kumtafuta mwanamke haswa ambaye ametendwa, naona kama una vigezo....tafadhali tafuta hiyo thread...all the best!

asante kama ameona thread yangu atanitafuta,asante kwa kunipa moyo mungu akubariki
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom