wana chit chat kuna mgen hapa....

Kumbe nawe umemsukia kama mie ?
Mgeni ana mikomfidensi ya kutosha mmh! Mi chale cheja!
Maziwa mgando at works !

my dia Judgement, mie mgeni mwenyeji. tangu 2010 huwaga napita hapa kama mgeni now nimeamua kujirejista. nini maana maziwa mgando?
 
Karibu karibu mgeni! karibu mpaka chumbani! jisikie huru kama mwenye nyumba!
 
wakubwa shikamoo,wadogo marahaba, rika langu habari zenu binafsi?
angalizo:nimetoka jukwaa la utambulisho nikaona nipite hapa kuwasabahi. mlale salama wapendwa wanajamvi

Mgen wewe ni wakitofauti ila sijui kama si mzawa wa hapa haya naona wakaribishwa saana ila charmin lady ndo shostito wangu wa ukwee, bishanga kipikip posta, eric b52 ni shem wangu, cacico ni mzee mmoja yupo mtulivu hivi, mentor ni kakaangu ila anaumwa kwa sasa,kuna mtu ambae bila kunisakama haon raha anaitwa junior cux, kuna dada mmoja ivi anaitwa kipipi nae mtulivu tuu ila washa moto utajua,pia kunakuna weengi ningetaman kukuelezea ila kuna mtu muhmu pia ni madame b aisee and nadhan ulishaanza liona au kulisikia hili jina nitakalo kuambia sahiv ndo mwandan wangu ndo baba mwenye mke huyu beibe nasty ye anaitwa JUDGEMENT nadhan umeshampata. Karibu saana my dia uche oooops kumbe egugu aaaah samahan kumbe emeka.igweeeeee
 
Back
Top Bottom