wana chit chat kuna mgen hapa....

wakubwa shikamoo,wadogo marahaba, rika langu habari zenu binafsi?
angalizo:nimetoka jukwaa la utambulisho nikaona nipite hapa kuwasabahi. mlale salama wapendwa wanajamvi

Marakhaba jamani.
Nyumbani wazima wote maana naona umeingia na Basi la Usiku.
 
Mh!
Sio ule m-Screpa mkuu-kuu?
Nadhani ndo huo!!
Mwalimu wa hommie wangu Kaizer hebu mwambie huyu mgeni a-come this way kabla sijamtumia mgambo. Sina kumbukumbu kama nishawahi kumkagua....

3.JPG
 
Mwalimu wa hommie wangu Kaizer hebu mwambie huyu mgeni a-come this way kabla sijamtumia mgambo. Sina kumbukumbu kama nishawahi kumkagua....

3.JPG

Hajawah kukaguliwa.
Ila :gossip: kuwa kisa cha kukataa kukaguliwa eti anaogopa mta :peep: maungo yake matam.

Asprin hebu m2mie wagambo waje.
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty asante kwa kunifagilia shost angu wa ukweli kumbe wanipendaga eee! senkyuuu saaaana... Emecka ucjali mpnz tupo pa1 km vp tutakuadd. . .
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom