Wana JF na majina yenu

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari zenu jamani, Wakubwa zangu Shikamooni, rika langu Mambo, wadogo zangu inakuwaje.

Mi bana naomba kujua na kuuliza tu Humu Jamiiforum hayo majina mnayotumia mlikuwa mnafikilia nini au jina hilo ilikuwaje mpaka ukalitumia humu, kuna wenzangu na mimi waliandika weee wanaambiwa hilo jina lina mhusika😅😂 akajikuta anaandika jina la kujaribu hilooo likakubali😁

Ila nasema tu Jf sahivi unaweza kubadirisha jina lako mwenyewe raha ilioje, nawapenda ndugu zangu ila ujumbe mwingine nitoe mi sio usalama wa taifa naomba msiniogope, wala sio wasiojulikana, ni shida tu ndo zinanifanya hivi!?

Wana Jf mimi nawapenda sana 🌹😍🤩😍
 
Kuna wakina mjingamimi 😁 na wakina Wangari Maathai Nahisi ili ulitoa kwa mwana history hivi
Hahahaa mm nilimuomba mods anibadilishe jina niitwe "MRS HERMANIUS STEYN" akasema ni noma🤣🤣! Ni yule mkulima alozuia ndege zetu...akasema hali sio nzuri..wakat ule aliwika balaa tz..haha akaniambia chagua jingine..nikamkumbuka huyu Prof nilikua nampenda...nikajiname Jina lake Wangari
 
Back
Top Bottom