Wallahi wabillahi sijawahi kamwe!

...those who feel complete by doing lil bedroom blood ritual with girls....there you go she has discovered lot of you are looking for that but you never ask if she's still pure....creative...how can she stand out of crowd...do a lil advert, i'm wondering how are u gonna do the ritual with all of 'em coz the first one will clear da shiit out of the wayyy...
 
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.

Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL

Loh, kweli akujuaye mpe tunda na asie kujua mrushie jiwe... unaweza kuprove madai yako mbele ya jf?
 
unalolote watu washazibua paka mitalo,umuibii m2 hapa.k2 used icho..nakama unayo ya kichina
 
Hongera sana iweke shosti haiozi hiyooo! hakikisha usipende kuendesha baiskeli isije ikaliwa na baiskeli...
 
The same boring story! Ngono...ngono..ngono. Huna mengine ya kuandika? Unatuboa bwn. Agh!!!!!!
 
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.

Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL

Mwenyeezi Mungu akuzidishie subra na akuepushie mabaya mpaka utakapoolewa kihalali, utajivunia hilo maisha yako, nakuombea akuondoshee vishawishi.
 
Wewe endelea tu kuleta maneno mengi lakini tambua mwisho wa siku lazima watu wa shoka watafanya mambo yao!
 
Back
Top Bottom