Wallahi wabillahi sijawahi kamwe!

Kichwa cha habari ni lugha gani nimeshindwa kuelewa?msaada
 
Hawa wanaojisifia ukiwafuatilia na ukiingia nao ndani unakuta kitu ''BWANGA'' sasa hapo unaweza kumuomba uingize mikono upige makofi au utamsikia anakuambia ingiza Goti basi Honey nipate raha oi.
 
dah! umejitetea kwa kiwango cha juu sana. wamekusikia. wakiendelea weka list yao hapa ili waache mara moja.

Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.

Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL
 
Back
Top Bottom