Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
tuache masiala jamani.makampuni ya Ulinzi yanawanyonya vijana wa Tanzania kwa kuwalipa kipato kidogo sana ukilinganisha na kazi yao pamoja na risk wanayoikabili.nimeshuhudia salary slip ya mlinzi mmoja ikisomeka 105000Tsh.kwa mahesabu ya haraka hii ni sh 3500 kwa siku..jamani hata kama mtu hana elimu,tuangalie basi utu wakeiko wapi serikali iwatetee vijana wanaoumia kwa tabu ya mshahara mdogo.