WALINZI wanapata mshahara mdogo sana

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
tuache masiala jamani.makampuni ya Ulinzi yanawanyonya vijana wa Tanzania kwa kuwalipa kipato kidogo sana ukilinganisha na kazi yao pamoja na risk wanayoikabili.nimeshuhudia salary slip ya mlinzi mmoja ikisomeka 105000Tsh.kwa mahesabu ya haraka hii ni sh 3500 kwa siku..jamani hata kama mtu hana elimu,tuangalie basi utu wakeiko wapi serikali iwatetee vijana wanaoumia kwa tabu ya mshahara mdogo.
 
Huu ni ukweli mtupu kwani kwa kipato walipwacho walinzi wa makampuni binafsi hapa nchini tunapoendelewa kuibiwa tusilalamike sama bali tutafute chanzo,

Kampuni (kuna over heads za kampuni na lazima itengeneze faid) inamlipa mlinzi 7% ya wanachomotoza mteja...analipwa. Tshs 150,000 wakati lindo lake linaitengenezea kampuni Tshs 1,500,000.

Mnyponge mnyonge ila HAKI YAKE MPATIE! Risky ni kubwa kwa walinzi; walipw kiasi kitakachofanya waipende kaI yao na kupunguza vishawishi jamani!
 
tuache masiala jamani.makampuni ya Ulinzi yanawanyonya vijana wa Tanzania kwa kuwalipa kipato kidogo sana ukilinganisha na kazi yao pamoja na risk wanayoikabili.nimeshuhudia salary slip ya mlinzi mmoja ikisomeka 105000Tsh.kwa mahesabu ya haraka hii ni sh 3500 kwa siku..jamani hata kama mtu hana elimu,tuangalie basi utu wakeiko wapi serikali iwatetee vijana wanaoumia kwa tabu ya mshahara mdogo.

Mbako, Mshahara inategemea lindo na lindo. Kuna Malindo mfano ya nyumbani Mteja analipa kuanzia laki kwa mwezi hadi laki mbili, je Mlinzi alipwe kiasi gani?

Kuna malindo ya maofisini ambayo Mteja analipia huduma za mlinzi moja kwa mwezi kiasi cha TZS 150,000 hado TZS 250,000. Je Mlinzi alipwe kiasi gani?

Ofisi kama Mabenki, Ubalozini nk (Si Serikalini), Mteja nalipa kati ya TZS 250,000 kwa mlinzi kwa mwezi hadi TZS 500,000 kwa mlinzi kwa mwezi.

Overheads za Kampuni ni pamoja na Response Team ya Patrol, Mitambo ya Emmergence na administrative costs.

Security Industry bado iko chni kwa sababu ya ushindani usio na tija. Kuna makampuni Mlinzi analipwa TZS 70,000 PM.

Kama una mlinzi Mwadilifu sana na amepitia mafunzo ya Ulinzi Ni PM. Kuna Mchongo wa Kampuni inayoendeshwa kisasa zaidi.
 
Mkuu una sound like una kampuni ya ulinzi
is it?
walinzi wa ofisi ya kawaida kwa night peke yake
mnafanyaje?awe na bunduki..
 
Mbona nyingi hyo!! Mie namjua mlinzi analipwa 75,000/= kwa mwezi,Tena yupo kampuni kubwa Ultimate na wengine wapo G4S na Group Security!
 
Mkuu una sound like una kampuni ya ulinzi
is it?
walinzi wa ofisi ya kawaida kwa night peke yake
mnafanyaje?awe na bunduki..

Mkuu, ni mdau katika mambo ya Ulinzi, Consultancy, Silaha, Networking nk nk. Ila huwa nina interest sana na mambo ya Security na Intelligence.

What we offer si Security Guards tu, bali Bodyguards/Closed Protections, Investigation/Detective Services (Marital cases only exceptional cases), Mafunzo ya kutumia Silaha ndogo na Services, Uniformed Security Guards full equipped with Digital Radio Calls (TETRA) na Silaha, Due Deligence Investigation kabla hujaingia mkataba wowote, nk. nk.

Walinzi wetu Wanaanzia Laki 250 kwa Guard na wanakuwa na Gears zote including an Emmergence Back Up Team . . . .
 
kwa hiyo nikihitaji ulinzi wa mlinzi mmoja for an office
ni laki mbili kwa mwezi sio?
kwa usiku peke yake?
ni pm contacts basi..
 
Mkuu hiyo Laki 250 ni Kwa Mlinzi Per Month for 12 Hours. Kama utahitaji a Special rate for some reasons nijulishe mapema. Walinzi wanalipwa juu kidogo kuliko hayo makampuni makubwa, pia huduma zenyewe are bit classified kama nilivyokwambia. Its a new co. Mimi sipo TZ muda mwingi huwa napatikana once a while, so in case utahitaji anything exceptional utanijulisha.

Contacts:

Contact Information

Fast Brigade Response Limited (FBR)
Tancot House, 2[SUP]nd[/SUP] Floor (After Mezannine, Opposite Luther House), Left Wing.
Sokoine Drive / Pamba Road
P.O. Box 21605
Dar Es Salaam; Tanzania

Telephone:

+255 767 767 676
+255 782 222 397;
+255 782 820 820;
+255 754 312 854;
+255 784 312 854

E-Mail:

firstresponsebrigade@gmail.com
 
Superman nitakuja hapo tancot house hapo simbanet nije kuomba kazi ya ulinzi.
 
Au wa madereva wa wabunge for that matter? Ikumbukwe mshahara wa dereva wa mbunge huingizwa kwenye akaunti binafsi ya mbunge (bosi wa dereva) na hicho atakacholipwa dereva ni hiari ya mbunge!
aaa duu yaani pamoja na zile extra kazi zisizo na tija bado wanalipya na Mbuge,huu ni uonevu....serikali inatoa shillingi ngapi kwao?
 
Kwa kawaida Serikali hutoa mshahara na posho sawa kiwango cha madereva walioajiriwa serikalini. Ila mshahara na posho hapewi dereva moja kwa moja, kwa hiyo mbunge akiamua anaweza (na wengi wanafanya hivyo) kukata panga.
 
najua hili suala halipo mahakamani, hivyo linajadilika.kwa nini wasipewe moja kwa moja?
 
Mbali na kiasi kidogo wanacholipwa walinzi hao,pia wanakatwa makato kiboa na mabosi zao, kuna fine za kijinga sana katika hayo makampuni ya uswahilini, 5,000 zinaondoka, utasikia hujapigwa buti dawa, umechelewa kupokea Call, asieee na ujinga mwingi ile kinoma, wale wa pale Victoria wanaongoza kwa unyanyasaji wa wafanyakazi wazawa, wana ubaguzi ile kinoma.
 
tuache masiala jamani.makampuni ya Ulinzi yanawanyonya vijana wa Tanzania kwa kuwalipa kipato kidogo sana ukilinganisha na kazi yao pamoja na risk wanayoikabili.nimeshuhudia salary slip ya mlinzi mmoja ikisomeka 105000Tsh.kwa mahesabu ya haraka hii ni sh 3500 kwa siku..jamani hata kama mtu hana elimu,tuangalie basi utu wakeiko wapi serikali iwatetee vijana wanaoumia kwa tabu ya mshahara mdogo.
Ss kk hwalikimbia shule tuwasaidieje hho mshahara bora niuze karanga😀😀😀
 
Mkii
Mbako, Mshahara inategemea lindo na lindo. Kuna Malindo mfano ya nyumbani Mteja analipa kuanzia laki kwa mwezi hadi laki mbili, je Mlinzi alipwe kiasi gani?

Kuna malindo ya maofisini ambayo Mteja analipia huduma za mlinzi moja kwa mwezi kiasi cha TZS 150,000 hado TZS 250,000. Je Mlinzi alipwe kiasi gani?

Ofisi kama Mabenki, Ubalozini nk (Si Serikalini), Mteja nalipa kati ya TZS 250,000 kwa mlinzi kwa mwezi hadi TZS 500,000 kwa mlinzi kwa mwezi.

Overheads za Kampuni ni pamoja na Response Team ya Patrol, Mitambo ya Emmergence na administrative costs.

Security Industry bado iko chni kwa sababu ya ushindani usio na tija. Kuna makampuni Mlinzi analipwa TZS 70,000 PM.

Kama una mlinzi Mwadilifu sana na amepitia mafunzo ya Ulinzi Ni PM. Kuna Mchongo wa Kampuni inayoendeshwa kisasa zaidi.
Hapa nakupinga mkuu ila sio kwa ubaya. Mimi nimefanya kazi private security sector. Kuna walinzi wa aina 2. Mlinzi wa silaha ya moto na mlinzi wa kirungu. Katika mlinzi wa kawaida wa kirungu lindo tajiri analipa 300,000 per month. Ambapo mlinzi anajitegemea nauli ya kwenda lindoni, parade kila wiki mara mbili plus na fine mbali mbali kama ulishindwa au ukikutwa hujavaa kofia, viat6 au umechelewa kazini faini ni elfu 5,000 kila kosa.

Mlinzi wa chuma analipwa laki 250,000 kwa mwezi ambapo mwenye lindo tajiri analipa 450,000 kwenye lindo.

Alarm system kidogo inatofautiana bei ila kiasi cha chini ni 150,000 kwa mwezi.

Hayo malipo yapo kisheria kwa mujibu wa kanuni za kima cha chini cha wafanyakazi walio ajiriwa sector binafsi.
Serikali ndiyo imepanga hiyo mishahara na makampuni siyo ya kulaumiwa. Wa kulaumiwa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom