Jamii ya Kitanzania inatuchukulia simple sana sisi walinzi, wengine tuna elimu zetu na fedha tunazo

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,166
Hello!
Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.

Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine. Nachukua jumla milioni na point.

Unakuta mtu maisha hana ila kwakuwa amenikuta getini basi ananichukulia kama walinzi wa makampuni ya kinyonyaji ya mshahara wa laki 2. Kuna mzee jana kanipa mia 2 yeye ndiye kanifanya nianzishe Uzi huu. Alinipa buku nimpe muuza Tangawizi sh.800 na chenji ambayo sh.mia 2 nichukue.

Huyu mzee mbaya zaidi ni mtumishi mwenzangu ila ni kitengo kingine, ni wa mkataba na Mimi ni wa kudumu nimemzidi mshahara parefu tu ila nadhani hajui. Nimemzidi elimu kwa umbali mkubwa.

Kisa kingine kiko hivi; Siku moja nilimwita classmate wangu na rafiki aje kazini tuongee issue ya kazi. Aliponikuta getini alinishituka na kunipeleka chini. Ilikuwa mida ya Mimi kuondoka kazini nikamwambia unapita wapi akasema, nikaenda kuchukua gari nikampakia akawa anaduwaa tu. Mara hii gari yako? Mara eeeh unalipwa sh. ngapi?

Nikamwonyesha salary slip na bank statement ya mwezi nikamwambia jumlisha hapo akapagawa. Ni fedha ndogo lakini hakutarajia kuwa mlinzi nikunje milioni na ushehe.

Kwenye maisha nje ya mshahara na posho walinzi tuko vizuri kwenye biashara kuliko watumishi wengine maana tuna muda mwingi wa kufanya biashara mbalimbali.

Nina degree ya HRM ila sioni sababu ya kuacha ulinzi ambao unanipa muda mwingi kujitafutia nje ya ofisi. Nikifika 40 ndipo nitahamia ofisi (kufanya shift ya kitengo).
 
Hello!
Inachekesha sana
Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.
Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha , awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi.
Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7 na posho ya chakula, overtime na zingine.
Nachukua jumla milioni na point.
Unakuta mtu maisha hana ila kwakuwa amenikuta getini basi ananichukulia kama walinzi wa makapuni ya kinyonyaji ya mshahara wa laki 2.
Kuna mzee jana kanipa mia 2 yeye ndiye kanifanya nianzishe Uzi huu. Alinipa buku nimpe muuza Tangawizi sh.800 na chenji ambayo sh.mia 2 nichukue. Huyu mzee mbaya zaidi ni mtumishi mwenzangu ila ni kitengo kingine, ni wa mkataba na Mimi ni wa kudumu nimemzidi mshahara parefu tu ila nadhani hajui.
Nimemzidi elimu kwa umbali mkubwa.
Kisa kingine kiko hivi; Siku moja nilimwita classmate wangu na rafiki aje kazini tuongee issue ya kazi. Aliponikuta getini alinishituka na kunipeleka chini. Ilikuwa mida ya Mimi kuondoka kazini nikamwambia unapita wapi akasema, nikaenda kuchukua gari nikampakia akawa anaduwaa tu. Mara hii gari yako?
Mara eeeh unalipwa sh. ngapi?
Nikamwonyesha salary slip na bank statement ya mwezi nikamwambia jumlisha hapo akapagawa. Ni fedha ndogo lakini hakutarajia kuwa mlinzi nikunje milioni na ushehe.
Kwenye maisha nje ya mshahara na posho walinzi tuko vizuri kwenye biashara kuliko watumishi wengine maana tuna muda mwingi wa kufanya biashara mbalimbali.
Nina degree ya HRM ila sioni sababu ya kuacha ulinzi ambao unanipa muda mwingi kujitafutia nje ya ofisi.
Nikifika 40 ndipo nitahamia ofisi (kufanya shift ya kitengo).
Ahaaaaheeeerheee!!! Nakubali elimu mnayo lakini pesa? Hamna! Pesa ndio inayomfanya mtu asiwe mlinzi wa mali za watu usiku kucha. Tupo pamoja?
 
Hello!
Inachekesha sana
Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.
Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha , awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi.
Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine.
Nachukua jumla milioni na point.
Unakuta mtu maisha hana ila kwakuwa amenikuta getini basi ananichukulia kama walinzi wa makapuni ya kinyonyaji ya mshahara wa laki 2.
Kuna mzee jana kanipa mia 2 yeye ndiye kanifanya nianzishe Uzi huu. Alinipa buku nimpe muuza Tangawizi sh.800 na chenji ambayo sh.mia 2 nichukue. Huyu mzee mbaya zaidi ni mtumishi mwenzangu ila ni kitengo kingine, ni wa mkataba na Mimi ni wa kudumu nimemzidi mshahara parefu tu ila nadhani hajui.
Nimemzidi elimu kwa umbali mkubwa.
Kisa kingine kiko hivi; Siku moja nilimwita classmate wangu na rafiki aje kazini tuongee issue ya kazi. Aliponikuta getini alinishituka na kunipeleka chini. Ilikuwa mida ya Mimi kuondoka kazini nikamwambia unapita wapi akasema, nikaenda kuchukua gari nikampakia akawa anaduwaa tu. Mara hii gari yako?
Mara eeeh unalipwa sh. ngapi?
Nikamwonyesha salary slip na bank statement ya mwezi nikamwambia jumlisha hapo akapagawa. Ni fedha ndogo lakini hakutarajia kuwa mlinzi nikunje milioni na ushehe.
Kwenye maisha nje ya mshahara na posho walinzi tuko vizuri kwenye biashara kuliko watumishi wengine maana tuna muda mwingi wa kufanya biashara mbalimbali.
Nina degree ya HRM ila sioni sababu ya kuacha ulinzi ambao unanipa muda mwingi kujitafutia nje ya ofisi.
Nikifika 40 ndipo nitahamia ofisi (kufanya shift ya kitengo).
Wewe uwe na pesa halafu ukeshe kwa watu?
 
Upo sahihi sana, mlinzi wa pale TPA anakunja kiasi kama hiko 700+k kwa mwezi, ana posho ya usafiri 200k, posho ya chakula 250k, posho ya kodi ya nyumba 35% ya mshahara wake kila mwezi, hapo bdo overtime. Endeleeni kusoma ualimu.
Chui Security amlipe mlinzi wa getini 700!?
 
Back
Top Bottom