sijaelewa kitu!hivi chipolopolo unaona waalimu ni watu wa kuwahadaa eti eeh? Ni kweli kabisa kisheria japo shule zimefunga but mwalimu yeyote asiyekuwa na official leave anapaswa kwenda kazini lakini jamani lets be realistic hivi huyu mtu anayekwenda job wakati wanafunzi wakiwa likizo na kusaini daftari la mahudhurio kisha labda kupitia kazi zake ambazo aliziacha kiporo kama ujazaji wa log book na departmental meeting reports ambazo anzifanya at leisure ukimwambia agome itakuwa na tija?
nilifikir kama ni mgomo upangwe wanafunzi wakiwa wamesha resume studies zao na pia hata ikiwezekana wakati wa mtihani ya kitaifa ili serikali ijifunze namna hii na kusema eti wanafunzi hawataathirika ni kama vile kuwaogopa. au labda mnataka wa A-level tu ndio wagome?
najionea kizunguzungu tu na hawa watakuwa ni waalimu wa primary tu siyo bure. kwanza tuvunje cwt may be itatusaidia.
sijaelewa kitu!
Ni mgomo ambao hautakuwa na athari kubwa kwani shule nyingi hapa nchini zimeshafunga . Halafu sisi hatuna misimamo ni dhaifu tutaachana njiani.
hivi chipolopolo unaona waalimu ni watu wa kuwahadaa eti eeh? Ni kweli kabisa kisheria japo shule zimefunga but mwalimu yeyote asiyekuwa na official leave anapaswa kwenda kazini lakini jamani lets be realistic hivi huyu mtu anayekwenda job wakati wanafunzi wakiwa likizo na kusaini daftari la mahudhurio kisha labda kupitia kazi zake ambazo aliziacha kiporo kama ujazaji wa log book na departmental meeting reports ambazo anzifanya at leisure ukimwambia agome itakuwa na tija?
nilifikir kama ni mgomo upangwe wanafunzi wakiwa wamesha resume studies zao na pia hata ikiwezekana wakati wa mtihani ya kitaifa ili serikali ijifunze namna hii na kusema eti wanafunzi hawataathirika ni kama vile kuwaogopa. au labda mnataka wa A-level tu ndio wagome?
najionea kizunguzungu tu na hawa watakuwa ni waalimu wa primary tu siyo bure. kwanza tuvunje cwt may be itatusaidia.
hii inaitwa propaganda mfu unayoweza kuipata JF pekee....!
Ila mliahidi kuwa nchi haitatawalika
Mbona taarifa yenyewe ina makosa ya kiuhariri?
Plz be serious.
Uongozi wa kamati maalum ya kudai haki na maslahi ya walimu kupitia CWT- Chipolopolo; kwa huzuni kabisa tunapenda kuutanfazia Umma kuwa tarehe 01/07/2012 siku ya Jumatatu Walimu wote wa shule za sekondari na shule za Msingi wanakwenda kuanza mgomo wa siku tano kuishinikiza Serikali kuongeza mishahara ya Walimu kuendena na gharama za maisha na inflation. ( Katika mgomo huu walimu wote mnapaswa kushiriki pasipo uoga wowote kwani kwa pamoja tunaweza)
Maombi maalum
1. Tunawaomba wanafunzi wote wa sekondari na msingi wa tuunge mkono kwa siku tano hizo
2. Wazazi wote na wadau wa elimu tunaomba mtuunge mkono katika mgomo wetu ili kuboresha elimu ya watoto wetu
3. Likizo za wanafunzi zitanza kati ya tarehe 7 au 9 Julai hivyo huataathiri mgomo huu
4. Mgomo usio na kikomo kama serikali dhaifu itaendelea kuwa jeuri utafanyika tarehe 16/08/2012 kama ulivyopangwa lakini huu wa tarehe 1/7/2012 ni Pre mgomo kabla shule hazijafungwa na wanafunzi hawajamaliza mitihani na kupata matokeo yao
Walimu tunawajibu wakuitoa ujinga serikali kwa kushiriki mgomo huu pamoja twaweza
Upadate
1.kama Mgomo hautafanikiwa Walimu wote hawatashiriki kutoa na kusahisha mitihani ya nusu muhula ya kwanza
2.Walimu wote kutoshiriki zoezi la sensa ya Watu na Makazi kama wakusanya takwimu