Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

Niwakumbushe na haya waalimu selikali ina hela nyingi kiasi cha kutosha kushughulikia matatizo yote mfano kule uswisi zimefichwa zaidi ya sh. 300 bilion za kitanzania!
 
hii inaitwa propaganda mfu unayoweza kuipata JF pekee....!
Ila mliahidi kuwa nchi haitatawalika
 
hivi chipolopolo unaona waalimu ni watu wa kuwahadaa eti eeh? Ni kweli kabisa kisheria japo shule zimefunga but mwalimu yeyote asiyekuwa na official leave anapaswa kwenda kazini lakini jamani lets be realistic hivi huyu mtu anayekwenda job wakati wanafunzi wakiwa likizo na kusaini daftari la mahudhurio kisha labda kupitia kazi zake ambazo aliziacha kiporo kama ujazaji wa log book na departmental meeting reports ambazo anzifanya at leisure ukimwambia agome itakuwa na tija?

nilifikir kama ni mgomo upangwe wanafunzi wakiwa wamesha resume studies zao na pia hata ikiwezekana wakati wa mtihani ya kitaifa ili serikali ijifunze namna hii na kusema eti wanafunzi hawataathirika ni kama vile kuwaogopa. au labda mnataka wa A-level tu ndio wagome?

najionea kizunguzungu tu na hawa watakuwa ni waalimu wa primary tu siyo bure. kwanza tuvunje cwt may be itatusaidia.
sijaelewa kitu!
 
kwa habari hii inaonyesha walimu hawana madai ya msingi ikiwezekana waachane na mgomo hadi hapo watakapo kuwa na madai ya msingi
 
Sishangai kusikia migomo,migomo,migomo,migomo,migomo,migomo,migomo, ni dhahiri kuwa huu ni uongozi wa migomo.
 
Ni mgomo ambao hautakuwa na athari kubwa kwani shule nyingi hapa nchini zimeshafunga . Halafu sisi hatuna misimamo ni dhaifu tutaachana njiani.
 
sijaelewa kitu!

sasa@sunshow hujaelewa nini? hebu soma vizuri ama hujui system ya elim ya tz kwa sasa? kama ndiyo basi siku hizi lizkizo ni tofauti kabisa, o-level wakiwa likizo a-level wako shule kama kawaida. so wakisema tugome sasa itakuwa na tija kama wanafunzi wako likizo? manake hata waalimu wa o-level ambao hawana official leave bado wanakuja kazini lakini kwao nikama tu kutembea hawafanyi kazi yeyote ingependeza sana tugomepo wakati wote tupo kaazini
 
Ni mgomo ambao hautakuwa na athari kubwa kwani shule nyingi hapa nchini zimeshafunga . Halafu sisi hatuna misimamo ni dhaifu tutaachana njiani.

Hapo umenena, watafanyaje mgomo wakati shule zimefunga? Huu ni upuuzi mtu.
 
hivi chipolopolo unaona waalimu ni watu wa kuwahadaa eti eeh? Ni kweli kabisa kisheria japo shule zimefunga but mwalimu yeyote asiyekuwa na official leave anapaswa kwenda kazini lakini jamani lets be realistic hivi huyu mtu anayekwenda job wakati wanafunzi wakiwa likizo na kusaini daftari la mahudhurio kisha labda kupitia kazi zake ambazo aliziacha kiporo kama ujazaji wa log book na departmental meeting reports ambazo anzifanya at leisure ukimwambia agome itakuwa na tija?

nilifikir kama ni mgomo upangwe wanafunzi wakiwa wamesha resume studies zao na pia hata ikiwezekana wakati wa mtihani ya kitaifa ili serikali ijifunze namna hii na kusema eti wanafunzi hawataathirika ni kama vile kuwaogopa. au labda mnataka wa A-level tu ndio wagome?

najionea kizunguzungu tu na hawa watakuwa ni waalimu wa primary tu siyo bure. kwanza tuvunje cwt may be itatusaidia.

dah umemjibu vizur teh teh cwt bwana mi nawaambia kiukwel kabsa hawana cha maana cWT kwishaaaaa mgomo wakat wa likizo si ndio porojo tena wa cku tano khaa mwl stuka hii janja ya kula makato
 
hii inaitwa propaganda mfu unayoweza kuipata JF pekee....!
Ila mliahidi kuwa nchi haitatawalika

Mkuu una ushahidi na unayo yasema?
JF ni mtandao pekee ambao kabla ya matukio kutokea huwa wa kwanza kuripoti!
Kuishambulia kwamba ina propaganda mfu hakuitendei haki!
No research no right to speak.
 
Uongozi wa kamati maalum ya kudai haki na maslahi ya walimu kupitia CWT- Chipolopolo; kwa huzuni kabisa tunapenda kuutanfazia Umma kuwa tarehe 01/07/2012 siku ya Jumatatu Walimu wote wa shule za sekondari na shule za Msingi wanakwenda kuanza mgomo wa siku tano kuishinikiza Serikali kuongeza mishahara ya Walimu kuendena na gharama za maisha na inflation. ( Katika mgomo huu walimu wote mnapaswa kushiriki pasipo uoga wowote kwani kwa pamoja tunaweza)

Maombi maalum
1. Tunawaomba wanafunzi wote wa sekondari na msingi wa tuunge mkono kwa siku tano hizo
2. Wazazi wote na wadau wa elimu tunaomba mtuunge mkono katika mgomo wetu ili kuboresha elimu ya watoto wetu
3. Likizo za wanafunzi zitanza kati ya tarehe 7 au 9 Julai hivyo huataathiri mgomo huu
4. Mgomo usio na kikomo kama serikali dhaifu itaendelea kuwa jeuri utafanyika tarehe 16/08/2012 kama ulivyopangwa lakini huu wa tarehe 1/7/2012 ni Pre mgomo kabla shule hazijafungwa na wanafunzi hawajamaliza mitihani na kupata matokeo yao

Walimu tunawajibu wakuitoa ujinga serikali kwa kushiriki mgomo huu pamoja twaweza

Upadate
1.kama Mgomo hautafanikiwa Walimu wote hawatashiriki kutoa na kusahisha mitihani ya nusu muhula ya kwanza
2.Walimu wote kutoshiriki zoezi la sensa ya Watu na Makazi kama wakusanya takwimu

Wewe ndo Ulimboka wa Walimu siyo?
 
Back
Top Bottom