Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,061
- 24,485
Kwani wote waliofaulu masomo ya sayansi kidato cha pili uwa wanafaulu wote kidato cha nne ?
Elimu ina umbo la Pyramid, bila shaka hilo hulitambui!
Ungelitambua basi usingeandika huo utumbo wako!!