Walimu wanaua ndoto za wanafunzi kisa matokeo ya kidato cha pili

M nna mfano hai,kuna mwamba nilisoma nae ile tunaingia form 3,akawa kapangiwa asoke Art lakini aliomba sana kwa mwalimu wa taaluma tena alileta hadi mzazi mwisho wa siku akakubaliwa,sahivi mwamba ni Engineer na anapiga mishe zake fresh tu
Bila shaka ana certificate tu ,hawezi kuwa na degree mtu wa hivyo
 
Back
Top Bottom