Mi cjaomba coz ya maabala ahsante. Hata hivyo vgezo nnavyo vya kwenda course yoyote naona mtandao wao unasumbuaNacte wana mambo hayaeleweki kabisa .. mfano wanafunzi wa kozi ya Maabala .. lazima awe na angalau D 5 kwa masomo ya Biology, Chemistry, Mathematics, Physics and English; bila hivyo watalamba hela yako alafu hupangiwi pa kwenda; lakini vyuo vya waelewa kama Mwasenda College of Health Sciences; unapokelewa ila unareseat masomo ambayo hukufanya vizuri, at the end of Semister ya pili unakuwa tayari umekamilisha vigezo vya usajili wa Nacte unaendelea kama kawaida.
Kwa maelezo zaidi tuma Pm nikupatie contact za hicho chuo au tembelea website ya chuo hicho.