Wale wote tulioapply kozi za Afya kupitia NACTE tukutane hapa!!

Daaaah mim mpaka pressure msitustue jaman wengine tuna matumbo ya kuhara ..tutaharisha iwe nommaa..
 
Uzi huu ni maalum kwa wale wote ambao tumeapply kozi za afya NACTE. Karibuni tujuzane mambo mbalimbali,ushauri,maswali ya kozi husika n.k.

Karibuni sana wapendwa!!!
Ingia website ya nacte ukavune ulichopanda... Mambo hadharan saiz....
Ingia leo hii
 
Back
Top Bottom