Mfwalamanyambi
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 433
- 102
Vipi na nyie wa Tosamaganga 1997-1999 mnamkumbuka u8noko wa Mponzi na Mazege?
kwa wale waliosoma Mbeya Secondary School (Mbeya Day), Kama mpo humu jamvini hebu tukumbushana kidogo enzi zile. Ile awamu ya kwanza ya vigae na streams mbili 'A' na 'B' kwa form 1&2 na science na commerce kwa form 3&4 na ile awamu ya pili ya baada ya vigae kuondolewa na kuwa bati tupu na streams nyingi kuongezwa na kuanzishwa A level.
I was there from 1980 wakati wa vigae na streams mbili na Headmaster NISAJILE
Mkuu hii title ni yako wewe. Title ya thread hii iko tofauti na yakoYaani hiyo title ndugu yangu, Wambea day! Dah!
Napakumbuka Mbogoso-ndizi za kuchoma kwa katapela,kikundi kikali nyanda za juu kwa sanaa za maonesho,black devils-nani anawakumbuka? na kikubwa ziidi mwaka 1990 tulichukua ubingwa wa basketball wa mkoa wa kwanza kule Rungwe.
Mastiff yuko wapi, Quit from the dark to light?kwa wale waliosoma Mbeya Secondary School (Mbeya Day), Kama mpo humu jamvini hebu tukumbushana kidogo enzi zile. Ile awamu ya kwanza ya vigae na streams mbili 'A' na 'B' kwa form 1&2 na science na commerce kwa form 3&4 na ile awamu ya pili ya baada ya vigae kuondolewa na kuwa bati tupu na streams nyingi kuongezwa na kuanzishwa A level.
I was there from 1980 wakati wa vigae na streams mbili na Headmaster NISAJILE