Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Je ni sawa baba kumuomba msamaha mwanae?
Je ni sawa baba kumuomba msamaha mwanae?
Kwanini isiwe sawa?Je ni sawa baba kumuomba msamaha mwanae?
Kwa hiyo mkuu unaniambia wewe unaweza kumuomba Mwanao Akusamehe? Je akikataa kukusamehe itakuwaje?..................... MtambuziTena haitakiwi aombe radhi kwa kuzungusha kiswahili...........Anatakiwa aseme kabisa "Mwanangu niwie radhi, nilighafilika mzee mzima."
Na wewe unamwambia nimekusamehe mzee, kisha mnafunga ukurasa na kuanza ukurasa mpya na maisha yanasonga mbele......
Huo ndio uanaume.........
MziziMkavu mbona huelewi... kwani nikimuomba mwanangu radhi nitapungukiwa na nini, hivi sasa kina Ngina nawaomba radhi nikiwakosea na nimewajengea tabia hiyo kisai kwamba wakikosa wanaomba radhi bila kujali kwamba wanayemuomba radhi ni mdogo au mkubwa kwao...............Kwa hiyo mkuu unaniambia wewe unaweza kumuomba Mwanao Akusamehe? Je akikataa kukusamehe itakuwaje?..................... Mtambuzi
Nimekuelewa asante sana ila nilitaka kujuwa akina ngina utaweza kuwaomba msamaha?................. MtambuziMziziMkavu mbona huelewi... kwani nikimuomba mwanangu radhi nitapungukiwa na nini, hivi sasa kina Ngina nawaomba radhi nikiwakosea na nimewajengea tabia hiyo kisai kwamba wakikosa wanaomba radhi bila kujali kwamba wanayemuomba radhi ni mdogo au mkubwa kwao...............
MziziMkavu ni sawa kabisa ikiwa kamkosea kwanini asimtake radhi jamani ingawa ni ngumu sana kwa familia zetu za kibantuJe ni sawa baba kumuomba msamaha mwanae?
hata kama mm nafikiri ni vema tu kumuambia mtoto samahani mwanangu hata kama umemkanyaga kwani kuna ubaya gani jamani iyo itasababisha kujenga uhusiano mzur baina ya mtoto na baba yake sio ile mtoto anamuona baba kama simba alwaysNaisi inategemeana na kosa lenye wenye.
Hata hivyo hakuna Binadamu mkamilifu chini ya jua.
tena inaleta furaha na uhusiano mzur kati ya baba na watoto na pia inamfanya mtoto kuelewa kua kumtaka mtu radhi sio mpaka awe amekuzidi umri bali ni mtu yeyote yule ukimkosea mtake radhiTena haitakiwi aombe radhi kwa kuzungusha kiswahili...........Anatakiwa aseme kabisa "Mwanangu niwie radhi, nilighafilika mzee mzima."
Na wewe unamwambia nimekusamehe mzee, kisha mnafunga ukurasa na kuanza ukurasa mpya na maisha yanasonga mbele......
Huo ndio uanaume.........