Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
kama amemkosea kwa nini asimwombe msamaha? Baba sio malaika!
Hayaka , napingana nawe kimtazamo kwa nguvu zangu zote! Mzazi hapaswi kumuomba apology mwanae kwa 100% !
Kisha niulize whay?
Chukua definition ya seek apology! Means "omba radhi"
ikiwa hivyo anaeombwa atakua na option au choice!
Ama akubali au akatae!
Ikatokea mtoto amekomaa akagoma kumsamehe mzazi wake , mpaka mmojawao akafa, itasemwa Mzazi wa flani amekufa na radhi ya mwanae?
Ikiwa mtoto ataombwa msamaha na mzazi wake basi itafikia mtoto kumlaani Babaake!
Hilo linawezekana?