Nani atapata mali zangu ikiwa nimeachana na mwanamke wa ndoa aliyenikuta na mali?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Habari zenu wakuu.

Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana watu wakilalamika wanawake wao kuchepuka nje ndoa na kupelekea ndoa kuvunjika.

Mimi ni kijana ambae nina mpango wa kuoa huko mbeleni (Sio leo wala kesho) na moja ya mipango yangu ni kuoa nikiwa nishakuwa na assets za kutosha.

Kutokana na dunia ya sasa kuharibika mpaka vijana wenzangu wengi kukataa ndoa, naomba kuuliza hili swali.

Ikitokea nikamuacha Mwanamke wa ndoa alienikuta nina mali zangu, je na yeye atapata mali zangu?

Nitashukuru mkinijibu wakuu.

Naomba nisaidiwe kwenye hili.
 
Niwazi umeingiwa nawoga na unafikiri zaidi kuhusu Mali.

Kimsingi sheria ya ndo ya Tanzania inaelezea ndoa kama muunganiko wa hiyari baina ya mume na mke wenye malengo ya kuishi pamoja maisha Yao yote.

Hii dhana yakuachana imekuja juu miaka ya karibuni kutokana na mabadiliko mbali mbali ambayo kimsingi ni kinyume na matakwa ya maana halisi yenyewe ya ndoa kidini na hata kisheria.

Ikiwa mtu mke na mtu mume wameoana na wamefikia HATUA wakashindwana. Basi swala la mgawanyo wa Mali kwasasa huchukua nafasi kubwa.

Nini huzingatiwa katika swala la mgawanyo wa Mali kwa wanandoa wanapoamua kuachana? Sheria ya ndoa inamtaka Kila mwanandoa kuthibitisha mchangowake katika kupatikana kwa Mali husika. Ikiwa mwanandoa atashindwa kuthibitisha Hilo basi hawezi kupata gawio katika sehemu ya Mali husika.

NB: Hakuna haja yakuogopa kuoa eti kisa mkeo mtagawana Mali pindi mtakapoachana, kwani sheria ya ndoa inaruhusu mwanandoa kumiliki mali binafsi akiwa ndani ya ndoa.
 
Na kama ume andika wosia kabla amja achana na ulikua ume muandika kama mlisi. Siku ukifa bila ya kuwa ume badilisha jina lake .anayo haki ya kupata mali zako hata kama tayari kaolewa sehemu nyingine.
 
Back
Top Bottom