Wakuu Wenzangu nawuliza hili swali naomba majibu toka kwenu

Tena haitakiwi aombe radhi kwa kuzungusha kiswahili...........Anatakiwa aseme kabisa "Mwanangu niwie radhi, nilighafilika mzee mzima."
Na wewe unamwambia nimekusamehe mzee, kisha mnafunga ukurasa na kuanza ukurasa mpya na maisha yanasonga mbele......
Huo ndio uanaume.........
 
hakuna binadamu mkalifu na baba au mama ni binadamu na wanafanya makosa na inawapasa wawaombe msamaha waliowakosea hata kma ni watoto wao,
 
Tena haitakiwi aombe radhi kwa kuzungusha kiswahili...........Anatakiwa aseme kabisa "Mwanangu niwie radhi, nilighafilika mzee mzima."
Na wewe unamwambia nimekusamehe mzee, kisha mnafunga ukurasa na kuanza ukurasa mpya na maisha yanasonga mbele......
Huo ndio uanaume.........
Kwa hiyo mkuu unaniambia wewe unaweza kumuomba Mwanao Akusamehe? Je akikataa kukusamehe itakuwaje?..................... Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mkuu unaniambia wewe unaweza kumuomba Mwanao Akusamehe? Je akikataa kukusamehe itakuwaje?..................... Mtambuzi
MziziMkavu mbona huelewi... kwani nikimuomba mwanangu radhi nitapungukiwa na nini, hivi sasa kina Ngina nawaomba radhi nikiwakosea na nimewajengea tabia hiyo kisai kwamba wakikosa wanaomba radhi bila kujali kwamba wanayemuomba radhi ni mdogo au mkubwa kwao...............
 
Nimekuelewa asante sana ila nilitaka kujuwa akina ngina utaweza kuwaomba msamaha?................. Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Naisi inategemeana na kosa lenye wenye.
Hata hivyo hakuna Binadamu mkamilifu chini ya jua.
 
tatzo ni tafsiri watu wanayoipa kitu "kuomba msamaha" na wakilnganisha na nafas aliyonayo baba ya ukuu ktk familia, au yeyote anaeichukulia nafas yake kwa nafas ya juu ya wengne mf bosi ofsin ila kila mtu yapasa kutambua kwamba ili kuyakabili matatzo yetu kiurahs na kuendeleza umoja amani na upendo baina yetu hatuna budi kuomba msamaha tunapokosea
 
Naisi inategemeana na kosa lenye wenye.
Hata hivyo hakuna Binadamu mkamilifu chini ya jua.
hata kama mm nafikiri ni vema tu kumuambia mtoto samahani mwanangu hata kama umemkanyaga kwani kuna ubaya gani jamani iyo itasababisha kujenga uhusiano mzur baina ya mtoto na baba yake sio ile mtoto anamuona baba kama simba always
mtu unakua na tatizo unaanza kutetemeka unaanzaje jamani kumumbia baba yani nakuambia mpaka upitie kwa mama
 
Tena haitakiwi aombe radhi kwa kuzungusha kiswahili...........Anatakiwa aseme kabisa "Mwanangu niwie radhi, nilighafilika mzee mzima."
Na wewe unamwambia nimekusamehe mzee, kisha mnafunga ukurasa na kuanza ukurasa mpya na maisha yanasonga mbele......
Huo ndio uanaume.........
tena inaleta furaha na uhusiano mzur kati ya baba na watoto na pia inamfanya mtoto kuelewa kua kumtaka mtu radhi sio mpaka awe amekuzidi umri bali ni mtu yeyote yule ukimkosea mtake radhi
 
Ndio! Ni harali baba kuomba msamaha kwa mtoto tena afanye haraka kabla mtoto hajaasirika kisaikolojia.Na kufanya hivyo huonesha busara ya Baba ni kilo ngapi kama ni nusu kilo kama ya junior .Cux basi ujue ni hasara
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom