Wakuu wa Arusha

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,607
52,334
Tafadhali naomba msaada wa kupata contacts za kiwanda cha kutengeneza chupa za plastic hapo arusha. Ukubwa wa chupa ni mls 350 au zinaitwa jam jars.
 
Wasiliana kwa maelezo zaidi.
1. +255-27-2501668/1667 ( A to Z)

2. +255-27-2505062 ( bestpack )
 
Salama humu. Hizo namba zote zinasema sio sahihi. Naomba mwenye namba zinazopatikana za best pack tafadhali. Au namba ya Kampuni yoyote inayodeal na package za plastic au za Glass za 500g na 1000g
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom