Msaada Tutani: Nahitaji Paving grid

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,698
3,084
Habari Wataalamu,


Naomba contacts za kiwanda cha kutengeneza paving grids, Hizi ni badala ya pavements na zinafaa Sana sehemu yenye majimaji au udongo unaokaa na maji,

Zitasaidia kuondoa usumbufu kwa sehemu ninapokaa, mwenye contacts anisaidie,

Nikiziangalia ni rahisi kutengenezeka, lakini zitafaa kwenye garden saana na zitàpunuguza gharama za kujazwa udongo sehemu yenye udongo mbaya.

Picha za mifano zimeambatanishwa, na msaada wa contacts utashukuriwa saana
 

Attachments

  • Hec2ac30284e44820bc3f6a601effcb6fJ.jpg_720x720q50.jpg
    Hec2ac30284e44820bc3f6a601effcb6fJ.jpg_720x720q50.jpg
    37.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom