Biashara ya chupa za plastic na chuma chakavu

Touch ID

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
209
213
Habarini wakuu poleni na harakati za kujikwamua kiuchumi. Nimekuja mbele yenu kupata details za biashara ya chuma chakavu na chupa za plastic.

Vitu ninavotamani kujua ni
1. Mtaji wa kuanza nao
2. Soko la chuma na plastic
3. Changamoto za biashara hizo mbili
4. Ipi kati ya hizo ni biashara nzuri zaidi
5. Mahitaji ya msingi ili kuweza kuanza biashara

Target ya biashara ni Dar es Salaam. Lakini unaweza recommend kutokana na uelewa wako na sehemu uliyopo.

NATANGULIZA SHUKRANI
 
1.Mtaji wa kuanza nao
2.Soko la chuma na plastic
3.Changamoto za biashara hizo mbili
4.Ipi kati ya hizo ni biashara nzuri zaidi
5.Mahitaji ya msingi ili kuweza kuanza biashara

Target ya biashara ni dar es salaam. Lakini unaweza recommend kutokana na uelewa wako na sehemu uliyopo.

Binafsi sijuhusishi lakin ninao ndugu zangu wanaojishughurisha na biashara hiyo (mwanza)

Issue ya mtaji inahusika sana walau uanze na M5 though inaweza isikizi mahitaji ili upate walau access ya kuwafikia wamiliki wa viwanda ( wengi wao ni wahindi) na uweze kukopesheka, faida zake hua ni Mia au Mia mbili kwa hayo ma plastic, ingawa pia unaeza ongeza na gambuti na materials mengine mengi , vyote ni marketable sana

Jambo la msingi tafta kijana ambae anajua aina ya material hitajiwa umfungulie kijiwe (collecting station) usijejikuta unanunua mali isiyo na soko viwandani, ukishakua expert wamiliki wa viwanda hukopesha ili kujitengenezea uhakika wa kupata mali ghafi

Wahuni/masela waliosahaulika ktk jamii ndo wanawapa watu utajiri kupitia biashara hii.
Habarini wakuu poleni na harakati za kujikwamua kiuchumi. Nimekuja mbele yenu kupata details za biashara ya chuma chakavu na chupa za plastic.

Vitu ninavotamani kujua ni
1. Mtaji wa kuanza nao
2. Soko la chuma na plastic
3. Changamoto za biashara hizo mbili
4. Ipi kati ya hizo ni biashara nzuri zaidi
5. Mahitaji ya msingi ili kuweza kuanza biashara

Target ya biashara ni Dar es Salaam. Lakini unaweza recommend kutokana na uelewa wako na sehemu uliyopo.

NATANGULIZA SHUKRANI
 
Habarini wakuu poleni na harakati za kujikwamua kiuchumi. Nimekuja mbele yenu kupata details za biashara ya chuma chakavu na chupa za plastic.

Vitu ninavotamani kujua ni
1. Mtaji wa kuanza nao
2. Soko la chuma na plastic
3. Changamoto za biashara hizo mbili
4. Ipi kati ya hizo ni biashara nzuri zaidi
5. Mahitaji ya msingi ili kuweza kuanza biashara

Target ya biashara ni Dar es Salaam. Lakini unaweza recommend kutokana na uelewa wako na sehemu uliyopo.

NATANGULIZA SHUKRANI
Pata million na 5
Dili na scraps (skrepa) huko utapata
Chuma chakavu
Aluminium (soft)
Chuma dongo
Aluminium (cast)
Chuma laini
Battery mbovu

Pata eneo la kujenga banda/kukodi
Tenga eneo kulingana na aina ya chuma
Pata mizani mlalo na ya kutundika
Bango la bei
Vitendea kazi (spana mbalimbali, nyundo, shoka, visu nk)
Record books/office

Pata vibali husika vya kuanzia (kununua, kuhifandi na kuuza) na baadae utaomba vya kukusanya na kusafirisha pia mtaji ukikua

Pata elimu kidogo kwa anayefanya hiyo biashara kuepuka kupiga! Unaweza kujitolea kwake kwa mwezi mmoja

Wateja wapo ambao hupita na kuchukua wenyewe japo hawa ni madalali lakini ndio wanaoaminika viwandani.. Mtaji ukikua utapeleka mwenyewe
Biashara ipo na inakimbiza mbaya.. Mfano kilo moja ya chuma chakavu inaenda mpaka 1100 yaani 1,100,000 kwa tani! Alminium mpaka 5200 kwa kilo yaani 5, 200,000/= kwa tani

Usibweteke kusubiri kuletewa kama Unataka ukue haraka, tembelea kiwanda na yard na magereji mbalimbali kuna mizigo ya kutosha sana!

Changamoto kubwa jela nje nje
Mizigo ya wizi.. Epuka mizigo iliyonyooka sana halafu bei kitonga.. Jihakikishe mzigo huo ni halali la sivyo achana nao Mfano
Vipande virefu vya nondo
Vyuma vya reli
Mabati na milingoti ya alama za barabarani
Magari na pikipiki zilizikatwa nknk

Hakikisha una vijana na mlinzi waaminifu la sivyo utapigwa mpaka uchakae
Ninayo mengi ya kukwambia lakini ya msingi ni hayo asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio utamu wa jf,barikiwa sana mkuu
 
Asante sana mkuu….kwa ushauri uliotukuka
 
Back
Top Bottom