Wakuu tupeni pole jamani

poleni sana Drphone kama umenusurika na familia, hayo ni mapenzi ya Mungu na ndiyo wa kumshukuru

Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu na Mungu atatufusha

thanks mkuu its god no one else
 
jamani namshukuru mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto. kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabomu mana aielezeki nilichokumbuka akilini ni kukimbilia familia yangu nilipata tabu kwani ninakoeleke ndiko watu wanakotoka na mabomu ndio yameshamiri yanadondoka ovyo nikasema no mapaka nifike om kufika nikakuta awapo nikakimbilia kwa jirani nikauta wamekimbia wote hofu yangu ikawa kwa mtt wangu 5yrs ambaye alikuwa na msichana wangu kwa vile mabomu ndio yanashamiri kurindima ukweli ilifika mahali nikagivup maana ilikuwa toomuch nikalala tu chini unatimuliwa na vumbi vipande vinapiga kwenye mabati vishindo na mitikiso ya yaloanguka karibu kabisa jamani kweli mliosimuliwa ombeni hivyo hivyo ila msiombee yawakute ata mm naomba yasijetokea mna kwa masaa yote zaidi ya 3 si mchezo.

nashukuru mungu jana niliweza kumpata mtt na dada yake pamoja na mdogo wangu nimeshuhudia mabomu zaidi ya 10 na nimepiga picha baadhi yalotua kwenye maeneo yakwetu watu wameibiwa wamekimbia makazi yao watt wamepotea ni mengi yalotokea jana nilitamani sana kuwajuza wana jf mapema ila cm ziliisha chaji jana yote nzima nilikuwa na majukumu mengi ila leo nimeweza kuingia hewani nilikosa pole zenu asa kwa pearl kwani ndio mwana jf anayejua mpaka om kwa hilo nampa bun anless wana jf wamtetee.

Pole sana.......

Nashindwa kumalizia "Mkuu" au "Bibie" kwa kuwa Avatar yako na maelezo hiviendani. Kwa maelelezo unazungumzia habari ya mtoto na dada (yaya) hii inanipa picha wewe ni "Bibie". Kwenye Avatar kuna sura ya kiume hii inanifanya nitakate kumalizia na "Mkuu". Which is which?
 
nadhani mkuu ingefaa ukae chini japo na mwandishi mmoja wa habari ambaye anaweza kutengeneza clip za kutosha then unatengeneza documentary ya tukio lote

hii itasaidia kukuza historia yako na wakazi wa maeneo ya gombos
unaweza kukuza kipato chako cha kila siku kwa kuuza hizo picha au video na kuacha kulalamika hakuna ajira
 
thanks mkuu
mm ni mwanaume dada ni mwangalizi wa mtt wangu avator inaendana na id yangu mkuu.
 
Pole sana Dk........lakini Mungu ni mwaminifu amekulinda hapo ndio ile Zab: 121 inatimia.
 
nadhani mkuu ingefaa ukae chini japo na mwandishi mmoja wa habari ambaye anaweza kutengeneza clip za kutosha then unatengeneza documentary ya tukio lote

hii itasaidia kukuza historia yako na wakazi wa maeneo ya gombos
unaweza kukuza kipato chako cha kila siku kwa kuuza hizo picha au video na kuacha kulalamika hakuna ajira

asante kwa wazo lako nitalifanyia kazi ila walikuwepo waandishi wa habari wanachukua matukio na kwa jinsi ulivyokibiashara zaidi cpati picha kama ungekuwa karibu na maeneo husika nyumba zilizoachwa wazi na mali ndani zingekuwaje
 
jamani namshukuru mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto. kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabomu mana aielezeki nilichokumbuka akilini ni kukimbilia familia yangu nilipata tabu kwani ninakoeleke ndiko watu wanakotoka na mabomu ndio yameshamiri yanadondoka ovyo nikasema no mapaka nifike om kufika nikakuta awapo nikakimbilia kwa jirani nikauta wamekimbia wote hofu yangu ikawa kwa mtt wangu 5yrs ambaye alikuwa na msichana wangu kwa vile mabomu ndio yanashamiri kurindima ukweli ilifika mahali nikagivup maana ilikuwa toomuch nikalala tu chini unatimuliwa na vumbi vipande vinapiga kwenye mabati vishindo na mitikiso ya yaloanguka karibu kabisa jamani kweli mliosimuliwa ombeni hivyo hivyo ila msiombee yawakute ata mm naomba yasijetokea mna kwa masaa yote zaidi ya 3 si mchezo.

nashukuru mungu jana niliweza kumpata mtt na dada yake pamoja na mdogo wangu nimeshuhudia mabomu zaidi ya 10 na nimepiga picha baadhi yalotua kwenye maeneo yakwetu watu wameibiwa wamekimbia makazi yao watt wamepotea ni mengi yalotokea jana nilitamani sana kuwajuza wana jf mapema ila cm ziliisha chaji jana yote nzima nilikuwa na majukumu mengi ila leo nimeweza kuingia hewani nilikosa pole zenu asa kwa pearl kwani ndio mwana jf anayejua mpaka om kwa hilo nampa bun anless wana jf wamtetee.

mkuu hii sitaisahamu!!ilinibidi nitembee badala ya kukimbia!!nilikuwa ninaongozana na mama ambaye sasa ni mtu mzima hawezi kukimbi,na mungu kamjalia mwili!!

nisingeweza kukimbia na kumuacha!!ila mwenyezi Mungu allitunusuru!!ila mbaya zaidi sikuweza kukimbia na wife kwani alielekea nisikojua hadi alipo nipigia akiwa chanika,...on foot!!!!

nilienda kumchukua jana,ile kufika home watu washatia uvumi wao ikabidi nikawatafutie hifadhi mwenge!ila mm nimejifanya nina moyo wa chuma niko zangu home, ila ikibasti hata tairi ya baskeli naanza kutambaa kama kawa uelekeo wa chanika!!!!sijui hofu hii itaisha lini!

ila Majohe sihami,kwani hata huko ambako ni mbali pia mabomu yalifika!!!!
 
Pole sana kamanda

Hii inanikumbusha 1978-79 tukiwa nyumbani kwetu maaeneo ya Kyotera!

Anyways nadhani wakazi wa Mbagala na Gongo La Mboto hawahitaji kwenda JKT
mkuu acha tu....nakumbuka 78/79 redioni wakazi wa kyaka walipokuwa wakihojiwa.....mmoja alikuwa kama kachanganykiwa anasema wamevamia,wakamuibia gari zake 4 na mke wake na mtoto wake wa kike wakawawowa.....gari=baiskeli na kuwowa=walimbaka mkewe
 
mkuu hii sitaisahamu!!ilinibidi nitembee badala ya kukimbia!!nilikuwa ninaongozana na mama ambaye sasa ni mtu mzima hawezi kukimbi,na mungu kamjalia mwili!!nisingeweza kukimbia na kumuacha!!ila mwenyezi Mungu allitunusuru!!ila mbaya zaidi sikuweza kukimbia na wife kwani alielekea nisikojua hadi alipo nipigia akiwa chanika,...on foot!!!!nilienda kumchukua jana,ile kufika home watu washatia uvumi wao ikabidi nikawatafutie hifadhi mwenge!ila mm nimejifanya nina moyo wa chuma niko zangu home,ila ikibasti hata tairi ya baskeli naanza kutambaa kama kawa uelekeo wa chanika!!!!sijui hofu hii itaisha lini!!!!ila Majohe sihami,kwani hata huko ambako ni mbali pia mabomu yalifika!!!!

pole sana mwathirka mwenzangu angalau nikiongea utaelewa namaanisha nn ebu niambie yale mabomu yaliyoaanza kulipuka mfulilizo mida ya saa 4 kama na nusu jamani ule mwanga ata kama umeangusha sindano chini unaiona live alafu yaliganda kama dk 20 na kitu mfulilizo acheni jamani yani kunguru ucku huo unamkwepa unafikiria ni bomu kumbe na yy anaokoa roho yake
 
mkuu acha tu....nakumbuka 78/79 redioni wakazi wa kyaka walipokuwa wakihojiwa.....mmoja alikuwa kama kachanganykiwa anasema wamevamia,wakamuibia gari zake 4 na mke wake na mtoto wake wa kike wakawawowa.....gari=baiskeli na kuwowa=walimbaka mkewe

nyie acheni baba, mama,watt kila mmoja kivyake fikiria baba na mama wanamwacha mtt ndani kalala wanakimbia
 
Pole sana ndugu yangu, cha muhimu wewe na familia yako wote wazima. Mshukuru Mungu kwa hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom