Wakuu tupeni pole jamani

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
Jamani namshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto.

Kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabomu mana aielezeki nilichokumbuka akilini ni kukimbilia familia yangu nilipata tabu kwani ninakoeleke ndiko watu wanakotoka na mabomu ndio yameshamiri yanadondoka ovyo nikasema no mapaka nifike om kufika nikakuta awapo nikakimbilia kwa jirani nikauta wamekimbia wote hofu yangu ikawa kwa mtt wangu 5yrs ambaye alikuwa na msichana wangu.

Kwa vile mabomu ndio yanashamiri kurindima ukweli ilifika mahali nikagivup maana ilikuwa toomuch nikalala tu chini unatimuliwa na vumbi vipande vinapiga kwenye mabati vishindo na mitikiso ya yaloanguka karibu kabisa jamani kweli mliosimuliwa ombeni hivyo hivyo ila msiombee yawakute ata mm naomba yasijetokea mna kwa masaa yote zaidi ya 3 si mchezo.

Nashukuru Mungu jana niliweza kumpata mtt na dada yake pamoja na mdogo wangu nimeshuhudia mabomu zaidi ya 10 na nimepiga picha baadhi yalotua kwenye maeneo yakwetu.

Watu wameibiwa wamekimbia makazi yao watt wamepotea ni mengi yalotokea jana nilitamani sana kuwajuza wana jf mapema ila cm ziliisha chaji jana yote nzima nilikuwa na majukumu mengi ila leo nimeweza kuingia hewani nilikosa pole zenu asa kwa pearl kwani ndio mwana jf anayejua mpaka om kwa hilo nampa bun anless wana jf wamtetee.
 
Aisee!

Pole sana mkuu!

Mungu aendelee kuwabariki na kuwapeni moyo wa subira.
 
jamani namshukuru mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto. kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabomu mana aielezeki nilichokumbuka akilini ni kukimbilia familia yangu nilipata tabu kwani ninakoeleke ndiko watu wanakotoka na mabomu ndio yameshamiri yanadondoka ovyo nikasema no mapaka nifike om kufika nikakuta awapo nikakimbilia kwa jirani nikauta wamekimbia wote hofu yangu ikawa kwa mtt wangu 5yrs ambaye alikuwa na msichana wangu kwa vile mabomu ndio yanashamiri kurindima ukweli ilifika mahali nikagivup maana ilikuwa toomuch nikalala tu chini unatimuliwa na vumbi vipande vinapiga kwenye mabati vishindo na mitikiso ya yaloanguka karibu kabisa jamani kweli mliosimuliwa ombeni hivyo hivyo ila msiombee yawakute ata mm naomba yasijetokea mna kwa masaa yote zaidi ya 3 si mchezo.

nashukuru mungu jana niliweza kumpata mtt na dada yake pamoja na mdogo wangu nimeshuhudia mabomu zaidi ya 10 na nimepiga picha baadhi yalotua kwenye maeneo yakwetu watu wameibiwa wamekimbia makazi yao watt wamepotea ni mengi yalotokea jana nilitamani sana kuwajuza wana jf mapema ila cm ziliisha chaji jana yote nzima nilikuwa na majukumu mengi ila leo nimeweza kuingia hewani nilikosa pole zenu asa kwa pearl kwani ndio mwana jf anayejua mpaka om kwa hilo nampa bun anless wana jf wamtetee.

Pole sana kamanda

Hii inanikumbusha 1978-79 tukiwa nyumbani kwetu maaeneo ya Kyotera!

Anyways nadhani wakazi wa Mbagala na Gongo La Mboto hawahitaji kwenda JKT
 
Pole sana drphone kwa yalio kusibu wewe na familiy yako. Nifuraha kubwa sana kwamba uko salama. NI kweli kwamba matukio mengine wewe yasikie kwa jirani tu na yasikutoke wewe..
 
Pole sana drphone, na tumshukuru Mungu u mzima na familia yako.
 
Pole sana drphone kwa yalio kusibu wewe na familiy yako. Nifuraha kubwa sana kwamba uko salama. NI kweli kwamba matukio mengine wewe yasikie kwa jirani tu na yasikutoke wewe..

nikweli mkuu nikiwaona watu wanavyofanya dhihaka juu ya tukio hili naumia sana
 
Pole sana kamanda

Hii inanikumbusha 1978-79 tukiwa nyumbani kwetu maaeneo ya Kyotera!

Anyways nadhani wakazi wa Mbagala na Gongo La Mboto hawahitaji kwenda JKT

mkuu hili alina uzoefu gongo la mboto hii ni mara 2 inatokea mbagala ilikuwa cha mtt uku ni zaidi ya saa 3 yanarindima non stop mkuu
 
Pole drphone...Mungu ni mwema na amekuepushia madhara ya aina yoyote.
 
thanks binamu nikiangalia majirani walobomolewa nyumba na 1 kufa wakati mabomu yalipita juu ya nyumba yangu salama namshukuru mungu sana
 
Kweli umepata wakati mgumu. Pole Mkuu na Mungu akupe amani kipindi hiki cha misukosuko.
 
Pole mwanaajamii , inabidi uchinje japo bata au mbuzi kumshukuru mungu.. maana kwa maelezo yako na hali tulivyokuwa tunaiona .si mchezo
 
jamani namshukuru mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto. kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabomu mana aielezeki nilichokumbuka akilini ni kukimbilia familia yangu nilipata tabu kwani ninakoeleke ndiko watu wanakotoka na mabomu ndio yameshamiri yanadondoka ovyo nikasema no mapaka nifike om kufika nikakuta awapo nikakimbilia kwa jirani nikauta wamekimbia wote hofu yangu ikawa kwa mtt wangu 5yrs ambaye alikuwa na msichana wangu kwa vile mabomu ndio yanashamiri kurindima ukweli ilifika mahali nikagivup maana ilikuwa toomuch nikalala tu chini unatimuliwa na vumbi vipande vinapiga kwenye mabati vishindo na mitikiso ya yaloanguka karibu kabisa jamani kweli mliosimuliwa ombeni hivyo hivyo ila msiombee yawakute ata mm naomba yasijetokea mna kwa masaa yote zaidi ya 3 si mchezo.

nashukuru mungu jana niliweza kumpata mtt na dada yake pamoja na mdogo wangu nimeshuhudia mabomu zaidi ya 10 na nimepiga picha baadhi yalotua kwenye maeneo yakwetu watu wameibiwa wamekimbia makazi yao watt wamepotea ni mengi yalotokea jana nilitamani sana kuwajuza wana jf mapema ila cm ziliisha chaji jana yote nzima nilikuwa na majukumu mengi ila leo nimeweza kuingia hewani nilikosa pole zenu asa kwa pearl kwani ndio mwana jf anayejua mpaka om kwa hilo nampa bun anless wana jf wamtetee.

Ndg Drphone pole sana, tumshukuru Mungu pia aliye kulinda na kukuweka hai hadi sasa.

Mungu aendelee kukulinda na kukutia nguvu kwa majukumu yaliyoko mbele yako hadi mrudie hali ya kawaida. Ubarikiwe.
 
Poleni sana jamani,tunashukuru umesalimika na familia.....Mungu awe nanyi!!!
 
Ndg Drphone pole sana, tumshukuru Mungu pia aliye kulinda na kukuweka hai hadi sasa.
Mungu aendelee kukulinda na kukutia nguvu kwa majukumu yaliyoko mbele yako hadi mrudie hali ya kawaida. Ubarikiwe.

thanks a lot mkuu amen
 
Pole mwanaajamii , inabidi uchinje japo bata au mbuzi kumshukuru mungu.. maana kwa maelezo yako na hali tulivyokuwa tunaiona .si mchezo

mkuu kwa furaha nikichinja itabidi wana jf wote nile nao ck hyo bila hivyo ckubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom