Wakuu tupeni pole jamani

Kiongozi pole sana, ninasikitika kupata hizi habari late, nilipotea JF kwa muda leo ndio naingia nilikuwa busy na niliingia kuku pm habari mbaya kuhusu mbwa wangu 3 walipatwa na PAV sasa nakuta hii habari.

Duuuu poleni sana mkuu. Nyumba yangu imegeuka kambi kuna rafiki kibao tunafanya nao kazi nyumba zao zimegeuka kifusi walikuja siku ya tukio usiku.
 
Kiongozi pole sana, ninasikitika kupata hizi habari late, nilipotea JF kwa muda leo ndio naingia nilikuwa busy na niliingia kuku pm habari mbaya kuhusu mbwa wangu 3 walipatwa na PAV sasa nakuta hii habari. Duuuu poleni sana mkuu. Nyumba yangu imegeuka kambi kuna rafiki kibao tunafanya nao kazi nyumba zao zimegeuka kifusi walikuja siku ya tukio usiku.

thanks mkuu na ww pole kwa dog wangu yupo alisalimika nilimwacha ndani ya fensi ili na yy aweze kujitetea
 
jamani namshukuru mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto. kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabpole saana na mungu akulinde na familia yako siku zote
 
Pole Bandugu, Tumshukuru Mungu kuwa umesalimika dhidi ya roho mbaya ya watawala wetu..
Manake huo ni uzembe ambao ungeweza kuepukika na madam walipuuzia, basi ni kwa sababu ya roho mbaya waliyo nayo dhidi ya raia wake..

Ipo siku tu.
Pole sana ndugu yangu.
 
Hadi hivi sasa hakuna aliyewajibika then tunasema tuna viongozi. CCM siku yao inakuja tena ipo karibu sana.
 
mkuu drphone ...umetuletea sredi ya sympathy halafu umeingia uchovu ukaenda kupiga usingizi .. du kweli mabomu kiboko
 
jamani namshukuru mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto. kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabomu mana aielezeki nilichokumbuka akilini ni kukimbilia familia yangu nilipata tabu kwani ninakoeleke ndiko watu wanakotoka na mabomu ndio yameshamiri yanadondoka ovyo nikasema no mapaka nifike om kufika nikakuta awapo nikakimbilia kwa jirani nikauta wamekimbia wote hofu yangu ikawa kwa mtt wangu 5yrs ambaye alikuwa na msichana wangu kwa vile mabomu ndio yanashamiri kurindima ukweli ilifika mahali nikagivup maana ilikuwa toomuch nikalala tu chini unatimuliwa na vumbi vipande vinapiga kwenye mabati vishindo na mitikiso ya yaloanguka karibu kabisa jamani kweli mliosimuliwa ombeni hivyo hivyo ila msiombee yawakute ata mm naomba yasijetokea mna kwa masaa yote zaidi ya 3 si mchezo.

nashukuru mungu jana niliweza kumpata mtt na dada yake pamoja na mdogo wangu nimeshuhudia mabomu zaidi ya 10 na nimepiga picha baadhi yalotua kwenye maeneo yakwetu watu wameibiwa wamekimbia makazi yao watt wamepotea ni mengi yalotokea jana nilitamani sana kuwajuza wana jf mapema ila cm ziliisha chaji jana yote nzima nilikuwa na majukumu mengi ila leo nimeweza kuingia hewani nilikosa pole zenu asa kwa pearl kwani ndio mwana jf anayejua mpaka om kwa hilo nampa bun anless wana jf wamtetee.

Pole sana mkuu drphone. Usisahau sadaka ya muumba.
 
Baada ya kuwa salama tafuta wana Jf kwenye jukwaa la sheria au tafuta mwansheria unayemjua haraka haraka wa kuisue serikali na JWTZ na kuomba fidia yausumbufu na mali zako zilizopotea. Hope ukifungua kesi na wengine wataijiunga kuongeza madai yao.

Msisubiri serikali na JWTZ ijamulie fidia ya kuwalipa. wanatakiwa wawapigie magoti nawatoe fidia ya uhakika.

haya twende kazi. na pole sana ndugu
 
jamani namshukuru mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto. kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika yote haya yakitokea nilikuwa kama mita 100 hivi na nyumbani tunapata soda na jirani zangu gafla tukaanza kusikia milio ilikuwa tu poa tukasema majambazi yamevamia uko moshi bar hyo ilikuwa mida ya saa 2 pm kufika saa 2 na nusu yakaongezeka tukasema ni radi kuanzia hapo atukuitaji kuambiwa ni mabomu mana aielezeki nilichokumbuka akilini ni kukimbilia familia yangu nilipata tabu kwani ninakoeleke ndiko watu wanakotoka na mabomu ndio yameshamiri yanadondoka ovyo nikasema no mapaka nifike om kufika nikakuta awapo nikakimbilia kwa jirani nikauta wamekimbia wote hofu yangu ikawa kwa mtt wangu 5yrs ambaye alikuwa na msichana wangu kwa vile mabomu ndio yanashamiri kurindima ukweli ilifika mahali nikagivup maana ilikuwa toomuch nikalala tu chini unatimuliwa na vumbi vipande vinapiga kwenye mabati vishindo na mitikiso ya yaloanguka karibu kabisa jamani kweli mliosimuliwa ombeni hivyo hivyo ila msiombee yawakute ata mm naomba yasijetokea mna kwa masaa yote zaidi ya 3 si mchezo.

nashukuru mungu jana niliweza kumpata mtt na dada yake pamoja na mdogo wangu nimeshuhudia mabomu zaidi ya 10 na nimepiga picha baadhi yalotua kwenye maeneo yakwetu watu wameibiwa wamekimbia makazi yao watt wamepotea ni mengi yalotokea jana nilitamani sana kuwajuza wana jf mapema ila cm ziliisha chaji jana yote nzima nilikuwa na majukumu mengi ila leo nimeweza kuingia hewani nilikosa pole zenu asa kwa pearl kwani ndio mwana jf anayejua mpaka om kwa hilo nampa bun anless wana jf wamtetee
.

Pole sana ndugu yangu. Tanzania kisma cha amani limekuwa janga la sisis kulana wenywe kwa wenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom