wakuu msaada kuhusu pc tafadhali....

Mshawa

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
776
306
ni notebook, nilibadili window juzi na kuweka ultimate, nimeitumia bila tatizo kwa siku 2. sasa tangu asubuhi nikiiwasha unakuja ujumbe usemao bootmgr is compressed press ctrl+alt+del to restart. nimefanya hivyo bila mafanikio, je naweza kutatuaje hili tatizo? regards....
 
try kwenda kwenye bios and check out your settings, unless labda kuwe na tatizo with your os!!
 
1. Boot from Vista/Win7 cd.
2. When the screen comes up asking which OS to load pick the Vista OS and then click load drivers.
3. A screen kind of like My Computer will pop up and you will see the Vista partition
4. Right click then go to Properties
5. Under the General tab uncheck the box that says "Compress drive to save disk space"
6. Click Apply and then Ok
7. Restart the computer and everything should boot up normally.

Bootmgr is compressed, how do i boot??

Similar Discussions

Back
Top Bottom