Msaada, QPG is compress press Ctrl+alt+del to restart

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Habari wakuu
Naomba msaada wenu was Nini nifanye ili niweze kuirudisha kompyuta katika Hali ya kawaida
Nimeiwasha na kuniandikia ujumbe wenye maneno yafuatayo
QPG is compressed press Ctrl+ alt+ del to restart

Nimepress lakini hakuna lolote, naomba nielekezwe nifanye Nini compyuta irudi kawaida

Aina ya kompyuta ni hp Compaq window 7
 

Attachments

  • 1567434210362820829870750176732.jpg
    1567434210362820829870750176732.jpg
    40.2 KB · Views: 17
  • 15674342433639035713406378901197.jpg
    15674342433639035713406378901197.jpg
    49 KB · Views: 17
Tatizo hilo linasababishwa na user pale anapojaribu ku-compress vital program file ambayo inahitajika wakati waPC booting, na kwakuwahaiwezi kuji-decompress yenyewe basi pc inagoma kuboot,kiufupi ulivyo compress hilo file ni umeliharibu na unatakiwa kufanya repair kwa kutumia CD au Flash yenye hiyo windows version. Chomeka hiyo CD / Flash halafu wakati unaiwasha chagua repair na endelea as usual kurepair hilo file..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom