mwanamara
Member
- Jan 14, 2011
- 53
- 11
Kazi kudandia dandia kila udaku na kuunganisha kwa maneno ya kuvuta na kamba.Wewe unasema mkoa wa Mara.. kuna wakurya hapa hapa Dar tena wengine ni majaji lakini wanapiga wake zao na kuwatoa ndani bila hata nguo...
Yaaani umesema ukweli kabisa,ila niligundua kitu hii tabia ya kuwapiga wake zao mbele ya watoto wao inawafanya watoto wakiume waone kuwa ili mwanamke akuelewe lazima umpige,na wakike anaona kama kupigwa ni sehemu ya maisha yao,kwahiyo na wao wakiwa na familia zao huendeleza kile walichokiona kwa wazazi kama sehemu ya maisha yao