Wakurya katika mahusiano! Je mwanamke akipigwa ndipo anajisikia kupendwa?

Wakunyumba Denis denny katika anga hizo ninyi ni aminia.

Huwa nasikia mnasema Mdala pa mwana ugimbi pa meza!!

Huku mtaani wanasema mngoni mkabidhi fedha hata yawe mamilioni mengi kiasi gani yatafika lakini ukimuachia nafasi na mkeo umekwisha, kwamba mnapenda sana k kuliko kitu chochote! tehetehetehe...

wakunyumba umeua ila c kwa madavidav yan 2naenda sambamba na Wayao kwanza ukiwa na mke wa Kiyao hata maendeleo cjui kama utapata mana mda wote wanataka sexual 2 hata hawajui mida ya kazi ila c wangon Pesa mchana starehe ucku
 
Last edited by a moderator:
Mwita ivi ile mila yenu ya kurithi wanawake bado ipo au siku hizi mmeipotezea!

Walimweusi ninavyojua kwa wakurya mke wa ndugu harithiwi. Kinachofanyika ni kuendeleza familia ya marehemu ili isipotee kwani kwa mila na desturi za wakurya ukirithi mke wa ndugu wewe unaendelea kuhesabika kuwa "bachelor" mpaka hapo utakapooa mke wako. Ukirithi mke wa mtu asiye ndugu yako wewe unahesabika kuwa mzinzi tu na jina ya watu wa aina hii kwa kikurya ni "watwali".
 
What about huyo mwanamke ambae unamrithi (indirectly as you say unaendeleza familia ya marehemu) je utakuwa unampatia haki yake ya msingi kama mwanamke au anaruhusiwa kuwa na mwanaume mwingine ambae atampatia ile haki yake ya msingi aliyokuwa anapewa na mumewe marehemu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom