Wakurya katika mahusiano! Je mwanamke akipigwa ndipo anajisikia kupendwa?

Wewe unasema mkoa wa Mara.. kuna wakurya hapa hapa Dar tena wengine ni majaji lakini wanapiga wake zao na kuwatoa ndani bila hata nguo...
Yaaani umesema ukweli kabisa,ila niligundua kitu hii tabia ya kuwapiga wake zao mbele ya watoto wao inawafanya watoto wakiume waone kuwa ili mwanamke akuelewe lazima umpige,na wakike anaona kama kupigwa ni sehemu ya maisha yao,kwahiyo na wao wakiwa na familia zao huendeleza kile walichokiona kwa wazazi kama sehemu ya maisha yao
Kazi kudandia dandia kila udaku na kuunganisha kwa maneno ya kuvuta na kamba.
 
mimi ni mkurya mama mnyamongo na baba mlenchoka,kwa swala la kipigwa eti ndo mapenzi hilo ni kosa kwangu binafsi sipendi mwanaume anepiga,kuhusu kujua mapenzi,,labda wewe ndo hujui mapenzi lakini wakurya tunajua mapenzi na pia kwenye kumi na nanae hatuchoki tunapuzi nyingi especially me i can go mpaka round tano utachoka wewe mwanaume,pia sisi ni wachapa kazi sio mdebwedo,,,kurya men and women are the best bana

tehe tehe wanaume wa kingoni na wanawake zetu kwanza ni full respect about love hapa mbona kama mwanaume utakimbia familia yako sema wakurya atleast men are powerful ila hata cc wangon n balaa
 
Lilie, tano tu ndo unajisifia mwanamke wa shoka. Usije kwangu kwani nitakuvunja ki**zi. Miye mchaga na nauwezo wa kwenda mpaka kumi na tano na zaidi, wadada wananikimbiaga kwenye shughuli.
A
m proud of being Chaga bwana. Kwendeni huko na ukurya wenu wa kupiganapigana mitaani huko. Ukitaka jua wakurya si wastaarabu jaribu kwenda kunywa baa zilizoko maeneo ya Banana Ukonga, karibu na jeshini, yaani hakuna heshima kabisa. tena msijiproud proud hapa na nonsense zenu.
Utakuwa uliwaletea za kizamani kichagachaga wakakuzingua kimtindo na vibia vyako. :msela:
 
Nadhani wanasema wanapenda kupigwa kwa sababu ni wajeuri;

Wadada wa kikurya nilokuwa nao ni wajeuri haoo...sijuhi sababu ya kipondo...

Hapo ni swala la chicken and egg.

Ni ngumu kusema kipondo kimewafanya wawe jeuri au ujeuri umewafanya wageuzwe gunia la mazoezi.

Dah,hata wewe unaamini propaganda hizi?
We kabila gani nyumba kubwa ?
 
Last edited by a moderator:
Mkurya kijijini sirori simba baada ya kiagata ni njia kuelekea Mugumu,Ngoreme

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Niliwahi kukaa Kiagata.
Ume nikumbusha,Bukabwa,Masurura,Kamugendi,Bwiregi,Kitaramanka,majimoto.......etc
dah,
 
Lilie, tano tu ndo unajisifia mwanamke wa shoka. Usije kwangu kwani nitakuvunja ki**zi. Miye mchaga na nauwezo wa kwenda mpaka kumi na tano na zaidi, wadada wananikimbiaga kwenye shughuli.
A
m proud of being Chaga bwana. Kwendeni huko na ukurya wenu wa kupiganapigana mitaani huko. Ukitaka jua wakurya si wastaarabu jaribu kwenda kunywa baa zilizoko maeneo ya Banana Ukonga, karibu na jeshini, yaani hakuna heshima kabisa. tena msijiproud proud hapa na nonsense zenu.

Wachaga wenye akili timamu ndio tunakula nao bia huku kwetu ukonga, lakini wajinga wajinga kama wewe wa kishumundu huwezi kuthubutu kula bia nasi.

Kama unakereka sisi kuwa proud na kabila letu, nenda kale kisusio cha mbuzi katoliki.:lol::lol::lol:
 
Lilie, tano tu ndo unajisifia mwanamke wa shoka. Usije kwangu kwani nitakuvunja ki**zi. Miye mchaga na nauwezo wa kwenda mpaka kumi na tano na zaidi, wadada wananikimbiaga kwenye shughuli.
A
m proud of being Chaga bwana. Kwendeni huko na ukurya wenu wa kupiganapigana mitaani huko. Ukitaka jua wakurya si wastaarabu jaribu kwenda kunywa baa zilizoko maeneo ya Banana Ukonga, karibu na jeshini, yaani hakuna heshima kabisa. tena msijiproud proud hapa na nonsense zenu.

Sasa wewe mchaga unapata wapi hela ya kwenda baa?
We ulienda baa unategemea uhongwe bia na mkurya?
Hatunaga mucheso,ingawa tunajua kuchesa musiki bhana
avatar25214_25.gif
 
Asante kwa pole zako, Si kweli kuwa wakurya ni wakorof bali hawatak kupelekeshwa sababu hawako tayar kumnyenyekea mtu ndo maana wasio taka kutumia akil zao ndo wanawatuona wakorofi, Kuhusu swala la mapenz wakurya ni Noma sababu wanawake wanapenda mtu anayejiamin kama huamin nipe huyo partiner wako halafu atakusimulia mm ni mkurya origin muerege wa buerege

Bwireghi ipi mura?
Ya tarime au ile ya Ryamisanga huku musoma vijijini?

Namaanisha mwireghe anae tumia "cha" au wale wa "sha".

E.g Ching'ombe
Shing'ombe
 
Ukipitia Musoma lazima utapita kiagata,kitaramanka,sirori center pale ndio nilipozaliwa aisee.
Ahsante

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Shangazi yangu mmoja ameolewa hapo kiagata. Nikipita nitakusabahi hapo sirori simba.
 
Mwita Maranya hivi Gachuma ni mkurya au mjita????? Manake tule tupesa twa koka tutakuwa tumemuelemea, ikiwezekana nimsaidie kutumia kidogo!!!!! LOL!
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya hivi Gachuma ni mkurya au mjita????? Manake tule tupesa twa koka tutakuwa tumemuelemea, ikiwezekana nimsaidie kutumia kidogo!!!!! LOL!

Haaaaaaaaaa lara 1 we kiboko!
Gachuma ni Mkurya, halafu anasemekana kumwaga noti huyo kwa vidosho.
Sasa akikupata wewe ambaye ni ''Bikra'' atakukabidhi kabisa kile kiwanda chake cha koka!lol
 
pole nimekushika pabaya,mkoa wa mara wageni ni wachache,tena wengi wameenda baada ya kuwepo na migodi,otherwise nenda kasaidie dada zako wanaofanyiwa vitendo vya kikatili huko vijijini.hunidanganyi kitu nimeishi mkoa wa mara miaka minne nimeshuhudia vitendo vya kikatili kwenye mkoa ule sijawahi
kuona kwenye maisha yangu.

kwa hiyo umekubali kuwa Mara kuna wawekezaji? wewe mwenyewe ulifata nini kama sio kwenda kuiba mawe wewe una hamu sana ya kuishi Mara sema tu umeona ujanja wako haukusaidii ukaamua kitumua mbio, chezeya Mara wewe wewe mwenyewe umekubali.
 
Haaaaaaaaaa lara 1 we kiboko!
Gachuma ni Mkurya, halafu anasemekana kumwaga noti huyo kwa vidosho.
Sasa akikupata wewe ambaye ni ''Bikra'' atakukabidhi kabisa kile kiwanda chake cha koka!lol

Sasa nikijivinjari na Gachuma itakuwa soo, manake mabinti wa Chambiri wale wenye maushepu ya hatari Eva na Najra yaani mabinti wana BIG A'S hatariiiiiii, walikuwaga mashosti wangu nikataka KUJIPASISHIA kaka yao (GET RICH OR DIE TRYING!!!! lol!) chezea urithi wa Chambiri Weye!!!! ila mambo hayakwenda nilivotaka. Hahahaaaaaaa huoni kutakua na mpasuko wa Chama Kubwa, Chama La Mapinduzi? endapo watasikia nimejibinafsishia ZEE LA COCA????? Ningejiposition kwa Nyambari ila Chedema mmembana koo sana, huenda ikala kwangu 2015!!! LOLEST!!!!
 
Wewe wewe wewe wewe wewe wewe wewe.
Hakyanani,...ngoja ni mute.

Ila kama hujipendi mfuate Ghachuma,jamaa kila baada ya miezi mi3
anaenda kusafisha damu nje.
Shauri zako,na SAUT pale anakula watoto balaa,kama una hamu na kifo cha
haraka mfate.

Ana rafiki yake anaitwa Zakaria,ni kitomb* balaa nae
 
tehe tehe wanaume wa kingoni na wanawake zetu kwanza ni full respect about love hapa mbona kama mwanaume utakimbia familia yako sema wakurya atleast men are powerful ila hata cc wangon n balaa

Wakunyumba Denis denny katika anga hizo ninyi ni aminia.

Huwa nasikia mnasema Mdala pa mwana ugimbi pa meza!!

Huku mtaani wanasema mngoni mkabidhi fedha hata yawe mamilioni mengi kiasi gani yatafika lakini ukimuachia nafasi na mkeo umekwisha, kwamba mnapenda sana k kuliko kitu chochote! tehetehetehe...
 
Last edited by a moderator:
kira siku mnatuchaguria viongozi kutoka Musoma Mjini tu. sie wa Tarime mmetuona ni mafara!!! leo tumereta kiongozi kutoka tarime mnareta zengwe tutapigana mpaka kiereweke... na hatutaki kuhama ccm na kuhamia cdm...
 
kira siku mnatuchaguria viongozi kutoka Musoma Mjini tu. sie wa Tarime mmetuona ni mafara!!! reo tumereta kiongozi kutoka tarime mnareta zengwe tutapigana mpaka kiereweke... na hatutaki kuhama ccm na kuhamia cdm...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom