Wakurya katika mahusiano! Je mwanamke akipigwa ndipo anajisikia kupendwa?

Salaam zenu wakubwa!
Habari za mishe mishe na mizunguko ya hapa na pale?

Going back to topic, naombeni tuwajadili ndugu zangu hawa katika swala zima la mahusiano!
Si mwanaume wala mwanamke, wote kwa ujumla tu wakorofi katika mahusiano.
Guys, ni kweli kabisa wakurya hatujui mapenzi! Labda tu kwa vijana wa sasa tena ambao tumesoma , na hata hao pia waliosoma, wakikorofishwa huwa ni moto Wa kuotea mbali! Atakupiga hata mbele ya kadamnasi!
Wanawake nao, eti asipopigwa, hapendwi!! Kuna dada mmoja wa kichaga kapata bwana wa kikurya, nakwambia hata hawezi simama na mwanaume hivi hivi wapige hata story kidogo akihfia bwanaake!

Wewe ni mkurya wa ukoo upi?

Mkira
Mtimbaru
Mlenchoka
Munchari
Muiregi
Mukenye
Mhunyaga
Mukiroba
Mukine
Muryeri
Musweta
Munyamongo
Munyabasi
 
Asante sana kwa kukiri wake/waume wa kabila hili NI WAKOROFI!Ningefurahi sana ungeendelea kutoa sifa zenu nyingine, au nikusaidie?
 
Wewe ni mkurya wa ukoo upi?

Mkira
Mtimbaru
Mlenchoka
Munchari
Muiregi
Mukenye
Mhunyaga
Mukiroba
Mukine
Muryeri
Musweta
Munyamongo
Munyabasi

tata we ni nouma!
Mi kwa ukwleli ni munyabasi kutoka upande wa mama na pia ni mungurimi kutoka kwa baba!!
 
Asante sana kwa kukiri wake/waume wa kabila hili NI WAKOROFI!Ningefurahi sana ungeendelea kutoa sifa zenu nyingine, au nikusaidie?

sifa nyingine zipo tena nyingi tu!
Kama,
extreme confidence.........!
Born with no fear..........!
These guys for sure do not fear death!
Those are some, you may go ahead with others!
 
Salaam zenu wakubwa!
Habari za mishe mishe na mizunguko ya hapa na pale?

Going back to topic, naombeni tuwajadili ndugu zangu hawa katika swala zima la mahusiano!
Si mwanaume wala mwanamke, wote kwa ujumla tu wakorofi katika mahusiano.
Guys, ni kweli kabisa wakurya hatujui mapenzi! Labda tu kwa vijana wa sasa tena ambao tumesoma , na hata hao pia waliosoma, wakikorofishwa huwa ni moto Wa kuotea mbali! Atakupiga hata mbele ya kadamnasi!
Wanawake nao, eti asipopigwa, hapendwi!! Kuna dada mmoja wa kichaga kapata bwana wa kikurya, nakwambia hata hawezi simama na mwanaume hivi hivi wapige hata story kidogo akihfia bwanaake!

siyo kwa wakurya tu we kama mke wa mtu kwanini usimame simame hovyo kuongea na wanaume.au kuna kabira linaloruhusu mke kusimama sima na wanaume hovyo?

mi mwenyewe mkurya baba mnyamongo babu mzaa mama mnyamongo bibi mzaa mama mtimbaru mume wangu mkira yan hapa full ukurya.
 
Salaam zenu wakubwa!
Habari za mishe mishe na mizunguko ya hapa na pale?

Going back to topic, naombeni tuwajadili ndugu zangu hawa katika swala zima la mahusiano!
Si mwanaume wala mwanamke, wote kwa ujumla tu wakorofi katika mahusiano.
Guys, ni kweli kabisa wakurya hatujui mapenzi! Labda tu kwa vijana wa sasa tena ambao tumesoma , na hata hao pia waliosoma, wakikorofishwa huwa ni moto Wa kuotea mbali! Atakupiga hata mbele ya kadamnasi!
Wanawake nao, eti asipopigwa, hapendwi!! Kuna dada mmoja wa kichaga kapata bwana wa kikurya, nakwambia hata hawezi simama na mwanaume hivi hivi wapige hata story kidogo akihfia bwanaake!

Naanza kujibu kama ifuatavyo: hatujui mapenzi mimi nafikiri labda wewe ndo hujui mapenzi kwanza jiamini simama kama wewe kama hujui omba darasa ufundishwe.
waliosoma, wakikorofishwa huwa ni moto Wa kuotea mbali! sidhani kama kuna mtu utamkorofisha makusudi acheke tu ili hali ameudhiwa na hii si kwa wakurya tu bali watu wote I mean hata wazungu, waarabu, n.k
dada kichaga kapata bwana wa kikurya sasa huyo dada wa kichaga kupata mwanaume wa kikurya wewe kuna kuhusu nini? au kwa vile amepata mchumba akakuacha sasa unataka kumharibia, acha wivu wa kizamani tulizana na wewe utapata wako.
nakwambia hata hawezi simama na mwanaume hivi hivi wapige hata story kidogo akihfia bwanaake!unataka asimame apige story na wanaume ya nini? huoni kwa kuwa unapiga story na wanaume bado hujapata wako na ndo maana unataka kumpoteza na yeye ili apige story akikutwa aachwe.
 
Kwanza kabisa hatuna mkurya mshamba kama wewe, sifa yetu ya kwanza ni confidence, sifa ambayo hauna, kwahiyo wewe huwezi kuwa mkurya labda wa kuchovya!
Wakurya wakorofi eeh, halafu bado wadada wanatugombania kila kukicha, tena wa makabila mengine ndio zaidi hasa wachaga na wameru. Uliza ujibiwe usikurupuke!

Nyie mnaojifanya kuendekeza gender balance katika ndoa mmeshindwa kuzihandle nyumba zenu. Hata vitabu vitakatifu vinasema mume ni kichwa cha nyumba sasa nyie endeleeni kuwa mikia sisi tunazidi kusonga mbele!

Bado una swali?
 
Mwita ivi ile mila yenu ya kurithi wanawake bado ipo au siku hizi mmeipotezea!
 
Huyu jamaa mshamba kweli.
Hakunaga mkurya hovyo kama huyu
 
Kwanza kabisa hatuna mkurya mshamba kama wewe, sifa yetu ya kwanza ni confidence, sifa ambayo hauna, kwahiyo wewe huwezi kuwa mkurya labda wa kuchovya!
Wakurya wakorofi eeh, halafu bado wadada wanatugombania kila kukicha, tena wa makabila mengine ndio zaidi hasa wachaga na wameru. Uliza ujibiwe usikurupuke!

Nyie mnaojifanya kuendekeza gender balance katika ndoa mmeshindwa kuzihandle nyumba zenu. Hata vitabu vitakatifu vinasema mume ni kichwa cha nyumba sasa nyie endeleeni kuwa mikia sisi tunazidi kusonga mbele!

Bado una swali?

Anataka kuji safishia nyota humu MMU aonekane Mkurya aliye
staarabika kumbe ujinga tu,ataishia kuwa kama wanaume wa kenya
 
mimi ni mkurya mama mnyamongo na baba mlenchoka,kwa swala la kipigwa eti ndo mapenzi hilo ni kosa kwangu binafsi sipendi mwanaume anepiga,kuhusu kujua mapenzi,,labda wewe ndo hujui mapenzi lakini wakurya tunajua mapenzi na pia kwenye kumi na nanae hatuchoki tunapuzi nyingi especially me i can go mpaka round tano utachoka wewe mwanaume,pia sisi ni wachapa kazi sio mdebwedo,,,kurya men and women are the best bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom