Wako wapi hawa siku hizi?

Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please

Mfano
Exaud Makyao
Kibunango
Josm
Sipo
Nyamayao
MTM

Na wengine wengi. Nilipenda michango yao. Wako wapi?

Wote wapo isipokuwa Kibunango aliyeamua kupumzika kuchangia ila hupitapita kusoma tu.Hao wengine kama kweli ulipenda michango yao basi soma kwa makini...wapo!
 
Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please

Mfano
Exaud Makyao
Kibunango
Josm
Sipo
Faith
Nyamayao
MTM

Na wengine wengi. Nilipenda michango yao. Wako wapi?

Kuna na Gkundi pamoja na STEVE diiiiiii siku hizi SIJAWASIKIA mKO WAPI???????????????????
 
Uchaguzi mkuu umekaribia watu wanafukuzia hela za matangazo ya kampeni.
 
Ukiona watu wamepotea, kuna mengi yanawakuta hasa sisi binadamu, hivyo tusishangae achalia mbali wanaingia kwa mgongo wa nyuma, Leo Nyamayao kesho pr------,.
 
Back
Top Bottom