Nimefanya kazi na watu watu wenye elimu (academic performance)mbalimbali na uzoefu mbalimbali (working experiences) kwenye fani mbalimbali (faculties).
Kwa sasa ninaweza kuthibisha kati ya waliofanya kazi na mimi basi wale waliokuwa na PhDs walikuwa na ufahamu na ufanisi mzuri (competency and skills) mkubwa kuliko wale wenye masters na degree moja kwa wingi wao.
Ila kilichonishangaza na kunifanya nitoke na andiko hili ni kwamba kuna PhDs nyingine zilinishtua na kunifadhaisha sana, hasa kwenye uwezo wao wa kujenga hoja za kisayansi, kumake a case, kuanalyse na kusumarize content, kunarrate na kuelezea plans na findings kisayansi kunatia mashaka
Wengi kati ya hao performers ambao hawakumeet my expectation according to their level of education wamepatia PhD zao either hapa hapa Bongo au ni zile za thesis bila kufanya comprehensive research. Kibaya nyingi ni za faster-faster kwa kutumia project research ambazo either zilifanywa na team ya wataalamu kama project , wao wakazitumia kuzishap na kuziredesign na kuandikia maandiko ya PhD
Ebu tupatie uzoefu wako ya wataalamu wetu hawa bila kutumia lugha ya kusikashfu hizi PhDs na tunajua nyingine chache hasa wa vyuo vikuu ilibidi zifutwe ?
Naomba nieleweki sina wivu na ninawapongeza kwani msoto wa PhD sio mchezo na simahanishi hakuna PhD nzuri za Bongo wala simahanishi PhD za harakaharaka za thesis-bases ni mbaya, ila kwa uzoefu wangu nimeconclude kulingana na personal observation .
Lesson learnt ni kwamba siku nikitaka kuchukua PhD basi itanibidi nijitahidi nijue niichukulie wapi na iwe ya aina gani na modality ipi?. This is my personal obervation so my conclusion, please don't take it personal, I might be wrong since my conclusion was not derived from scientific analysis thus sikuweza kucontrol other confounders (variables) ambazo ni nyingi.