Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 3,839
- 3,085
hii mentality ambayo mwajidanganya et watz ni wavivu ni uhuni mtupu. Almost sector zote wamaejipenyeza na kinachowaokoa ni majungu sana sio kwamba ni wachapa kazi kivile. Wakenya ni wabinafsi sana ukifanya nao kazi hata kama utakesha lazima wakuwekee majungu ufukuzwe.
Wewe unaelewa nini unaogea.... big up mzee.... tatizo watu wamekalia WaTZ wavivu , wavivu na hiyo propaganda inaendelezwa sana na Wakenya, ila ni watu wa majungu na pia wako wababaishaji kama walivyo pia watanzania baadhi. Na pia wako wachapakazi kama vile vile walivyo Watz.