Sijui kama Immigration na Labour Office zinafanyakazi. Wanatakiwa wawe na valid Work Permits na pia Labour wajiridhishe kwamba hakuna mtanzania anayeweza kufanya kazi hizo. Mkifuatilia wanaingia tu na kuanza kazi kiholela. Ni wachache ndiyo wenye documents husika.